Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
lazima kuna sababu tu ikijulikana uniambie
siku nyingine usiwe unakurupuka
Utamu niupatao umefuta maumivu yote ya nyuma....wewe kweli ni my Heaven on Earth....
acha akae na sababu zake....hazitusaidiii
baadae love ndio nakuja huko
Sawa shem wangu sitishiki ng'ooo kushtuka je naruhusiwa?
Love usiendelee kusema.......I will always be here for you
lazima kuna sababu tu ikijulikana uniambie
kwani kwa 'Valentina' nimeshindwa?
Tunakazi ya kujenga msingi imara wa penzi letu,,,,
ndio maana wewe unagombaniwa na kila hospitali...
Finaly na ww umepata wa ku share nae
Objectioooooon.......
Nakusubiri mama watoto...nikuandalie nini
Unajua kupika au utaanda vitunguu na nyanya tu Vin Diesel?
objection overrule!!!!!!!!!!!!