Na mie nahitaji kuolewa!!!

Kuna vibaka walimvamia jana wakati anarudi nyumbani....

aisee daaah ndio nimeuona uzi MMU kule hawa watu wabaya sana mie wiki iliyopita walivamia home kwangu ila hawakufanikiwa kuiba walidhibitiwa na waliokuwepo maana mie nipo safarini
 
aisee daaah ndio nimeuona uzi MMU kule hawa watu wabaya sana mie wiki iliyopita walivamia home kwangu ila hawakufanikiwa kuiba walidhibitiwa na waliokuwepo maana mie nipo safarini

Yaani nashukuru Mungu anaendelea vyema....vibaka ni hatari sana
 
ngoja nikaanze kupiga goti nikuombee upate ndani ya mwezi huuu.
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikaanze kupiga goti nikuombee upate ndani ya mwezi huuu.

Ni sawa kutafuta mme ukaolewa lakini kwa nini unataka atoke humu jamvini tu? Ila kama uko serious inabidi uache u baunsa maana unasema ulishakuwa baunsa kwenye milango wakati wa harusi za wana jf tunaogopa kupigwa ukisha vuta baunsa nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…