Bandugu mwaka mpya na mambo mapya.
Nataka njidhatiti na kujisajili kitengo cha ndoa jf sasa basi mwaka jana nlipata wachumba humu 2 katika hao wawili hawana sera mmoja nikambwaga live mwingi wa habari mwingine nimemuacha kimya kimya yaani hayupo romantic af dizaini hajui kuishi kisuperstar humu tokea niwe nae nimedetoriate sana humu cc.Sasa kukawa kuna mume wa mtu humu cc kanizimia sana mihela kila saa anantumia jf pesa ila akuuuuu mi mtoto wa watu naheshimu ndoa nlilelewa nkaleleka nimemkataa.
Bado naendelea na mchakato nahitaji mume mwenzenu nimeshachoka kama shosti
Zinduna alivyosema kitchen party ya
YNNAH nimecheza sendoff ya
ladydoctor nilikuwa mwenyekiti harusi ya
Heaven on Earth na figganigga allias
kobun nlikuwa mshika shela.
Kwenye kibao kata cha
Paloma nlikatika mpaka kiuno kikaenda kushoto.Na sasa ameolewa anaishi salama na hubby ake
sosoliso ndoa ya
watu8 na
measkron nlikuwa mlinzi getini maana wakina
Zahra White na co walikuwa wanataka kuleta keki eti na vanga ukumbini wamusute dada
measkron ikabidi niwe mlinzi.
Kaizer kwa wake zake wote nlikuwa nampikia solo na kumpelekea kwa mdunange.Kwenye ndoa ya
kiwatengu na
shansarie nliongoza jopo la makungwi kumsinga
kiwatengu na keshokutwa yake tukamfanyia
shansarie her night iliitwa shansarie's night ilinoga sana nlihakikisha mabilionea wa chuga wamehudhuria wote na walimtunza dollar and no fake zone.
Sasa jamani na mie imefika wakati wangu wa kuolewa humu cc.
Ni hilo tu natumai ntafanikiwa.
Mwaka huu nina mpango kabambe sana na nimeshaboresha maujuzi kwenye hiyo sekta.
Ahsanteni ndugu zangu na wanafamilia wa chitchat kwa kunisikiliza ombi langu najua litafanyiwa kazi.
Cc rais wa cc
Arushaone mwenyekiti wa cc
Baba V mwenyekiti wa cc
Erickb52 mwenyekiti wa cc mwingine
Nicas Mtei Mwanyasi KOKUTONA Mtambuzi watu8 DARKCITY natambua uwepo wako mwenyekiti wa chuga
PakaJimmy Mamndenyi ladyfurahia farkhina Jerrymsigwa Kipaji Halisi Vin Diesel DEMBA mwallu mkiva na wanacc wooooote.