we jifanyi kama huwaoni...................... Ie sirudi nyuma.................. Usisahau till death do us part.............. Eeeh, sawa????????????//// halafu baelezeeeee........
Tupe CV yako kamili. Kujitangaza mwanaume halisi haitoshi. Kutili kabati ya mbeho? Kutili Double Cabin? Kutili Kihamba?
Hii imekaa vizuri.Ila utowashi ni wito ndugu yangu.Ndo maana mwenyewe kasema yalimshinda siku nyingi.Ikishindikana Kuwa Towashi mbona maisha yanawezekana?
lol! ndo hawahawa mpaka na kuomba sijui kusali tukaomba na kusali sahizi yamekuwa haya?mie na ulokole tena basi napiga sala ingine(;eeh mungu baba unisamehe mimi mja wako kuingilia mambo ya mapenzi ya watu nisipotakiwa,sasa wenyewe wamesameheana mimi nabaki macho juu,nilikua nadhani nikimuunga mkono pearl japo atanionea huruma anipe mimi,lakini ndio mmh kaangukia kwa mbaya wake AK 47sasa ndio nimeamini ushauri wa ustaadh ubwabwa alisema"ubwabwa wapikwa kwa jirani weye waununulia ndizi"nakiri makosa yangu kuanzia sasa sitanunua ndizi kwa ubwabwa wa jirani a.k.a.kudandia mada kwa mbere😉can somebody say ameeeen!wagomabanao................
AK bana........
Nitatuma kwani dedline ni lini🙄
si inaruhusiwa kuwa na waume 2 na zaidi au??
lol! ndo hawahawa mpaka na kuomba sijui kusali tukaomba na kusali sahizi yamekuwa haya?mie na ulokole tena basi napiga sala ingine(;eeh mungu baba unisamehe mimi mja wako kuingilia mambo ya mapenzi ya watu nisipotakiwa,sasa wenyewe wamesameheana mimi nabaki macho juu,nilikua nadhani nikimuunga mkono pearl japo atanionea huruma anipe mimi,lakini ndio mmh kaangukia kwa mbaya wake AK 47sasa ndio nimeamini ushauri wa ustaadh ubwabwa alisema"ubwabwa wapikwa kwa jirani weye waununulia ndizi"nakiri makosa yangu kuanzia sasa sitanunua ndizi kwa ubwabwa wa jirani a.k.a.kudandia mada kwa mbere😉can somebody say ameeeen!
Mmh! Yametimia...
Annina
Kila nikisoma, nasoma mengi zaidi ya ulichoandika apo....sasa sijui macho yangu ama akili yangu tu?
mmmh unasoma nn?
ndo sijielewi hapa hebu nisaidie nasoma nini apo kwa Aninna? we umesoma maneno mawili tu au zaidi.....
Mmh! Yametimia...
Annina
mmh kweli bana sielewi kabsa
umeonaeeeeh
(by the way nahitaji kuku wa kienyeji)
Binamu mie ninao wengi wako tu nje wanarandaranda, swali linakuja utaweza kumkibiza na kumkamata mwenyewe ha ha ha haumeonaeeeeh
(by the way nahitaji kuku wa kienyeji)
wangapi baba?lini?
tartiiib.....wa pasaka si unajua tena ..wa hommie tu
Binamu mie ninao wengi wako tu nje wanarandaranda, swali linakuja utaweza kumkibiza na kumkamata mwenyewe ha ha ha ha