Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

Na mim natafuta mukazi wange SERIOUS….

eeh G ebu msalimie mwenzako,jana culisema unywi sana?ulidhani chai eeh?nilikwambia mm baridi isikudanganye!
ningekunywa bia sawa ningemgongea na kumsalimia....!lakini valuu HAPANA!valuu inawafanya wanaume wafikirie MILA.sasa nigombane na dada-angu kisa pombe?....😀😀😀
naomba nisimsalimie kwa heshima yake
 
Haya binamu umeshinda u will have the kuku (her) for free. kaazi kweli kweli.

here I come,,,, afu apo itakuwa free binamu wakati nimemkimbiza kijasho kikanitoka, si ajabu nikashindwa hata kumla (hashindwi mtu amen)
 
ah ah ah ok basi bana usijali pouwa safari njema basi
ningekunywa bia sawa ningemgongea na kumsalimia....!lakini valuu HAPANA!valuu inawafanya wanaume wafikirie MILA.sasa nigombane na dada-angu kisa pombe?....😀😀😀
naomba nisimsalimie kwa heshima yake
 
here I come,,,, afu apo itakuwa free binamu wakati nimemkimbiza kijasho kikanitoka, si ajabu nikashindwa hata kumla (hashindwi mtu amen)
Unapumzika binamu for a while alafu ndo unaanza kumla.
 
Kila kitu kiko tayari binamu, waiting for u na kuku wote wako nje.

ndo nakuja ivo,,,,,mi ntachagua apo mmoja tu wa kuanzia.....hahahaha mwenyewe utashangaa....afu ntavomchinja tartiib nazingatia haki za wanyama😀
 
ndo nakuja ivo,,,,,mi ntachagua apo mmoja tu wa kuanzia.....hahahaha mwenyewe utashangaa....afu ntavomchinja tartiib nazingatia haki za wanyama😀
Karibu binamu, nakutadharisha tena wana mbio hao, jiandae vizuri nenda gym kabisa uwe fit.
 
Karibu binamu, nakutadharisha tena wana mbio hao, jiandae vizuri nenda gym kabisa uwe fit.

Binamu umesahau nipo fiti 24/7, kuna watu wanahitajika gym lakini mi nipo fiti mazoezi ya kukimbia na yale mengine mambo mswano tu!😀

binamu kwani unaendaga gym na wewe?
 
Binamu umesahau nipo fiti 24/7, kuna watu wanahitajika gym lakini mi nipo fiti mazoezi ya kukimbia na yale mengine mambo mswano tu!😀

binamu kwani unaendaga gym na wewe?
Binamu gym muhimu huwa nahudhuria mara kwa mara.
 
Kaizer pole sana, nilimaanisha Yametimia...!

Annina

Bora kwanza ulivoamka,

Unajua, usingekuwa Mwandishi, nisingehangakia kutaka kuona vinavoonekana na visivyoonekana, sasa hebu niambie nimeangalia sana Annina?
 
mungu akusaidie umpate barafu wa moyo wako ila usisahau kutualika kula pilau.
 
Back
Top Bottom