Na mimi natafuta mchumba

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
6,324
Reaction score
7,913
Habari,

Nilipitia maumivu makali sasa nimepona na nimeamua kurudi kwenye game,

Nina 30 years old

Nina degree

Sijaariwa ila nimejiajiri(sipendi kuajiriwa)

Nina kipato cha kutosha watu wawili na zaidi,

Naemtafuta;

Mwanamke anaejielewa

Akiwa na diploma au zaidi itapendeza zaidi, kwangu kisomo sio kigezo, ila anaweza kujituma kibiashara nivyema

Awe attractive

Polite na mwenye busara, asiwe na roho mbaya, ila apende ndugu zangu, watoto, na awe mkarimu

Asiwe mchafu, mdomo wa mwendokasi, katili, ajipende kama mimi, yaani ajue kupika na kujisafisha, na kumpenda mume na awe na marengo, nitampenda na kumweshimu kama vile hajawai kupendwa.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…