"....na mimi natafuta mtu wa kunipa raha"

"....na mimi natafuta mtu wa kunipa raha"

Ukisham-ng'ata utatuletea thread nyingine ya kutuarifu mang'ataji ?
 
Jamani huyo anaomba ushauri kwa mtu ambaye anamfahamu na ana imani naye kwamba anaweza kumsaidia, hivi watanzania tumelogwa maana mawazo yetu yote ni kwenye ngono, mwanamke akiwa karibu na mwanamme demu wake. Mwanamme akiwa karibu na mwanamke ooh.... ni buzi lake, tushindwe kuombana msaada wa kimawazo kisa tu huyu mwanamke na mwingine mwanamme? TUACHENI HIZO MPENI MWENZETU USHAURI NAMNA YA KUOKOA NDOA YAKE
 
he he he mwisho wa siku utamla kaka,tats how it happens.mshauri aende kwa wakinamama wenye busara anaowaamini wampe ushauri
 
Wewe mwenyewe umeoa? Kama umeoa jua pia mkeo ananiomba ushauri kama unaoombwa ww leo hii. So na wewe nishauri nifanyaje.

Kama ujaoa kaa nae mbali na huyo mke wa mtu bro. Imenitokea hii stiuation nina experience nayo ndg yangu.
 
Jamani huyo anaomba ushauri kwa mtu ambaye anamfahamu na ana imani naye kwamba anaweza kumsaidia, hivi watanzania tumelogwa maana mawazo yetu yote ni kwenye ngono, mwanamke akiwa karibu na mwanamme demu wake. Mwanamme akiwa karibu na mwanamke ooh.... ni buzi lake, tushindwe kuombana msaada wa kimawazo kisa tu huyu mwanamke na mwingine mwanamme? TUACHENI HIZO MPENI MWENZETU USHAURI NAMNA YA KUOKOA NDOA YAKE
mmmmmmhhh Chokambovu,hata kama huwezi kusoma gazeti hata kuangalia picha?Mwanamke keshakupasulia wazi anataka kulipa kisasi,kisasi gani zaidi ya kutoa mzigo? Embu tuwe straight forward, hapa kuna kaharufu ka cheating,issue ni kwamba mtoa mada ale au asile mke wa mtu?Binafsi hii ngoma mimi nisingeiacha ningejipigia tu maana ni kama zali tu limemdondokea mtoa mada kesho mdada anaweza kubadili mawazo ikabakia 'ningejua',e bana e kamata hiyo kitu.
 
Ndoa hizi jaman, haya maangalizo kwa ambao hatujaingia ndo kbs mnatukimbiza..
 
Anakutaka huyo hana lolote we mgonge tu ila ukigongwa na wewe usinilaumu coz hawa wake za watu sio wakukimbilia
 
Usikubali kabisa kujiingiza kwenye mahusiano na mke wa mtu, kwanza huwezi kujua labda yeye ndiyo chanzo cha matatizo katika hiyo ndoa. Mwanamke anayeweza kukutamkia wazi wazi kwamba na yeye anatafuta wa kujivinjari naye huyo ni hatari sana. Suluhisho la matatizo ya ndoa sio kulipiza kisasi. Bibilia imesema Mke mwema huijenga familia na Mke mpuvambu huibomoa mwenyewe familia yake. Naona ilishaonekana tokea enzi za Adam na Eva, Eva alipodanganywa kula tunda la kati na nyoka. Mpe ushauri wakutanishwe na Kiongozi wao wa kiroho kwa ajili ya mafundisho, inaonekana mafundisho ya ndoa, kitchen party, bag party, n.k hawakuyaelewa au wameyasahau kwa sasa. WANAHITAJI MAOMBI YA KUWABADILISHA KWA KUONDOA NGUVU ZA GIZA ZILIZOWAINGIA.
 
Acha kumpoteza kijana popo sumu nyingine ata maziwa hayasaidii kitu

mtoto akililia wembe ujue kaota mavu** ........huyo bi dada analilia muhogo. kwa hiyo asipewe?
 
Back
Top Bottom