SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Katoto kavulana kalimwendea baba yake na kuanza mazungumzo
MTOTO: (kwa uchangamfu na kujiamini) Babaa baba!
BABA: (akihamisha uso wake kutoka kwenye gazeti na kumtazama mwanawe) Wasemaje Richiee?
MTOTO: Baba! Na mimi nataka nioe.
BABA🙁Akicheka)Ahaaa! Utamwoa nani?
MTOTO: Namwoa bibi!
BABA🙁kwa jazba) Jinga sana wewe.Utamwoaje mama yangu?
MTOTO🙁akimkazia babake macho)Wee baba si ndio ulianza huu mchezo? Mbona ulimwoa mama yangu?