Na Mimi Nataka Kuoa

Na Mimi Nataka Kuoa

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Katoto kavulana kalimwendea baba yake na kuanza mazungumzo

MTOTO: (kwa uchangamfu na kujiamini) Babaa baba!
BABA: (akihamisha uso wake kutoka kwenye gazeti na kumtazama mwanawe) Wasemaje Richiee?
MTOTO: Baba! Na mimi nataka nioe.
BABA🙁Akicheka)Ahaaa! Utamwoa nani?
MTOTO: Namwoa bibi!
BABA🙁kwa jazba) Jinga sana wewe.Utamwoaje mama yangu?
MTOTO🙁akimkazia babake macho)Wee baba si ndio ulianza huu mchezo? Mbona ulimwoa mama yangu?
 
Mtoto yuko very logical.. Ila hili pia linachangiwa na watu wazima na vikongwe kuwaita watoto wadogo mara mume wangu mara mchumbaa mara kaka yangu mara shemeji.. Dah.. Ukimwita mtoto wangu hivyo lazma nikupige biti ase
 
Back
Top Bottom