Mtoto yuko very logical.. Ila hili pia linachangiwa na watu wazima na vikongwe kuwaita watoto wadogo mara mume wangu mara mchumbaa mara kaka yangu mara shemeji.. Dah.. Ukimwita mtoto wangu hivyo lazma nikupige biti aseKatoto kavulana kalimwendea baba yake na kuanza mazungumzo
MTOTO: (kwa uchangamfu na kujiamini) Babaa baba!
BABA: (akihamisha uso wake kutoka kwenye gazeti na kumtazama mwanawe) Wasemaje Richiee?
MTOTO: Baba! Na mimi nataka nioe.
BABAπAkicheka)Ahaaa! Utamwoa nani?
MTOTO: Namwoa bibi!
BABAπkwa jazba) Jinga sana wewe.Utamwoaje mama yangu?
MTOTOπakimkazia babake macho)Wee baba si ndio ulianza huu mchezo? Mbona ulimwoa mama yangu?