Na mimi nimenunua gari,ila haya mambo siyajui,msaada

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Nimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha pia
IMG_20170901_084234.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emergency light hiyo kwa matumizi ya mara moja tu inawaka kama kiberiti

Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha piaView attachment 579476

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautiana
 
Duuuu we jamaaa
 
Back
Top Bottom