Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Wengi wameonesha kutokujua kazi ya hizo E.Light, lakini hata muvi za wenzetu wa Hollywood zinatumiwa tumiwa sana, mathalani; wanataka kuingia kwenye shimo lenye giza sana, utaona wanatoa hiyo kitu, wakiivuta inatoa huo mwanga mara nyingi mwekundu au kijani, wanaitupia chini na wanapata kuona huko waendako kunafananaje!
Nilijaribu tuu kudhani huwa hatujifunzi na hatupendi kudadisi.
Nilijaribu tuu kudhani huwa hatujifunzi na hatupendi kudadisi.
