hiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautianaNimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha piaView attachment 579476
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuu we jamaaahiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautiana
hiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautiana
Mbona majibu yanaeleweka kuwa ni emergency lighting Mkuu .Pia kipo kwa gari yangu kipo! kazi yake no hiyohyo mkuuKama hamna magari si mnyamaze tu wenye mandinga yao wajibu, kuliko kujibu upupu wajameni!!
Mzee unafahamu magari sana eeh?Hongera mkuu kwa kuvuta IST.
Mi mwenyewe sijui ila tusubiri wadau watoke kuswali Eid
kujifanya ujuaji si poa, kwani kunaaliekuuliza gari gani au we ndio unajua sanaHongera mkuu kwa kuvuta IST.
Mi mwenyewe sijui ila tusubiri wadau watoke kuswali Eid
Umenisaidia na mimi sijuag ka kazi gani hako kadude mi nikajuaga labda ndo papuchi ya gari kumbe tochi kweli mi mhengaNimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha piaView attachment 579476
Sent using Jamii Forums mobile app