Inaitwa "Nimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha piaView attachment 579476
Sent using Jamii Forums mobile app
HOngera mkuu kwa kupalanganaNimepalangana hatimae na mimi leo nimenunua gari
Ila kuna kadude hapa kwenye seat ya mbele ya abiria kwa chini kana rangi nyekundu,ni nini? Kazi yake nini?
Naweka picha piaView attachment 579476
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna cku ktk Kujaribu jaribu vitu kwenye magari ya kuazima nikajikuta nimekawasha bwana,.... Aloo nilihaha hapo kukazima Kwani kanazimika ss?.,, nilikachomeka hadi kwenye kifusi cha mchaga wa kujengea lkn kakagoma,ikabidi nitulie tu na kukatizama kakiwaka hadi mwisho ila hofu ikaniijia tena kuwa pale mwishoni kasije kakalipuka, lkn hakakulipuka, nikatupa likasha lake nakurudisha gari ya watu kimya kimya bila kusema kilichotokea, nahic mwenyewe alikuja jua kameibiwa, maskini ya Mungu lawama Zitapelekw car washMkuu kwaajili ya kuwasha usiku kama umepata shida kina mwanga mkali sana! Ila mara moja kikiwashwa huwezi washa tens.Lakini subiri waliobobea wanakuja
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahahhahahahahahahahahaKuna cku ktk Kujaribu jaribu vitu kwenye magari ya kuazima nikajikuta nimekawasha bwana,.... Aloo nilihaha hapo kukazima Kwani kanazimika ss?.,, nilikachomeka hadi kwenye kifusi cha mchaga wa kujengea lkn kakagoma,ikabidi nitulie tu na kukatizama kakiwaka hadi mwisho ila hofu ikaniijia tena kuwa pale mwishoni kasije kakalipuka, lkn hakakulipuka, nikatupa likasha lake nakurudisha gari ya watu kimya kimya bila kusema kilichotokea, nahic mwenyewe alikuja jua kameibiwa, maskini ya Mungu lawama Zitapelekw car wash
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea kitaalamu sana sema wachache wataelewaHiyo ni flare kwa ajili ya nyakati za emergency hususa ni porini ama katika hifadhi za wanyama ili kurahisisha suala la rescue team kujua ulipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
DUH!!!hiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautiana
hiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautiana
Huu ni udanganyifu wa kupewa na risiti ya EFD khaaAhiyo ni koki ya kuwashia sigara kama unazikumbuka zile za kiko, pia hapo unaweza kuchomeka chaja ya kujaza upepo wa tairi kama una pump yako ya miguu, ni mahali ambapo umeme wa gari unaweza kutolewa nje kwenye input nyingine, kama nimekosea basi wengine watakupa mrejesho mana gari zinatofautiana