Na MIMI NIMEOTESHWA............!!!

Na MIMI NIMEOTESHWA............!!!

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
8,604
Reaction score
5,583
NDOTO ISIOTAKIWA KABISA....

Kuwa hawa "mababu NA mabibi" waliooteshwa na Wanaooteshwa kila uchao "TIBA ZA MAGONJWA SUGU" IKO SIKU WATATOWEKA NA KUPOTELEA KUSIKOJULIKANA GHAFLA!!!

Kama walivyowahi kutoweka kina
Hitler,
Kibwetere,
Balali nk!!

Wadau mnaonaje hapo?
 
huyu alioteshwa nini?
 
Hawa nao walioteshwa? Hivi walioteshwa nini vile tena, au walioteshwa migomba?
 
Mm!
Umeoteshwa nini?
Nlitaka nkusaidie kukutafsiria Ndoto yako.
 
Anzisha kanisa ili ndoto hiyo watu waiamini
 
Aahhh unataka niseme kila kitu ule mpango wa pilau bado???
Yaani da Dena siyakuyaweka tena humu JF!
Bibie alianza kunitumia .... Halafu akanambia anahitaji akaongeze KaDegree kwanza!
Sasa nataka nije humu humu niombe msaada nimfanyeje?
 
Yaani da Dena siyakuyaweka tena humu JF!
Bibie alianza kunitumia .... Halafu akanambia anahitaji akaongeze KaDegree kwanza!
Sasa nataka nije humu humu niombe msaada nimfanyeje?

Yaani umenikata maini kabisa dah nilivyokuwa nasubiria!!!

Miaka mitatu sio mingi msubiri tu atakuja
 
Hawa nao walioteshwa? Hivi walioteshwa nini vile tena, au walioteshwa migomba?

mmoja alioteshwa awaangamize wayahudi, matokeo yake yeye na sehemu kubwa ya jeshi lake ndiyo wakaangamia. huyo mwingine sijui alioteshwa nini...EPA?
 
Yaani umenikata maini kabisa dah nilivyokuwa nasubiria!!!

Miaka mitatu sio mingi msubiri tu atakuja
Bado nina mawazo nae!
Kwanin tusingeyamaliza haya ...ndio aende huko kuongeza jembe lake!
Nina mashaka nae kwa kweli...labda alisoma zile threads zangu off course!
 
NDOTO ISIOTAKIWA KABISA....

Kuwa hawa "mababu NA mabibi" waliooteshwa na Wanaooteshwa kila uchao "TIBA ZA MAGONJWA SUGU" IKO SIKU WATATOWEKA NA KUPOTELEA KUSIKOJULIKANA GHAFLA!!!

Kama walivyowahi kutoweka kina
Hitler,
Kibwetere,
Balali nk!!

Wadau mnaonaje hapo?

Wafuasi wa akina Kibwetere watakuambia umekosea,mimi nakupa tano!
 
Kwa wenye upeo mkubwa wamenielewa vema kabisa...
kwa wale kina mimi ni vigumu sana kunielewa! kwa sababu SIELEWEKI!

Kwa ufafanuzi mdogo.
Kibwetere na Hitler walitoweka baada ya mauwaji makubwa!
Balali nae "ALITOWEKA" lakini tunaaminishwa kwamba "ALIKUFA"
ndoto yangu inasimamia hapo....
ukifikiria zaidi utaona ndani yake KUNA NDOTO NYIIIINGIIII!!! ambazo ni ngumu sana kwa wanaofasiri ndoto!!!
 
Back
Top Bottom