Na mimi wajameni natafuta..

Na mimi wajameni natafuta..

heheeh dah nimecheka kwa laudi spika aisee! halaf mbona haujanialika futari bana? uchoyo haujengi ujue?
<br />
<br />
nataka nikualike daku aisee! Sa tisa uwe ushafika. Sawa mtoto mtundu eeh? Haya kaoge kabisa.
 
Back
Top Bottom