Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo wanaenda kulala mapemaBaada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!!
Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
As far as pitch ikiwa good,ball litatembea and by the way this is football so anything can happen....no mara waaa.Mme yakanyaga
View attachment 2596472
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha yanga ajishebedue ili mke mwenza (waydad) amujue
Na kizuri zaidi anayejuaga habari za kike kike naye huwa ni Mwanamke [emoji23]Acha yanga ajishebedue ili mke mwenza (waydad) amujue