Na mme wenu kapigwa,Sasa kesi mtakuwa mnaenda kushtak kwa Nani?

Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!!
Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
Leo wanaenda kulala mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…