Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Tuvumilie tu mwenza maana hata sisi sio wasafi, ila angalau kalist ketu sio karefu sana.
Unanikumbusha yule baba aliyekaribishwa aseme neno la kuagana na binti yake kwenye ile mnaita sendoff..( baba mtu akaanza " mwanangu nilikuonya uachane na Juma hujunisikia sasa umeolewa achana naye kabsaa maana atakuvunjia ndoa[emoji13] [emoji13] [emoji13] )
 
Unanikumbushe yule baba aliyekaribishwa aseme neno la kuagana na binti yake kwenye ile mnaita sendoff..( baba mtu akaanza " mwanangu nilikuonya uachane na Juma hujunisikia sasa umeolewa achana naye kabsaa maana atakuvunjia ndoa[emoji13] [emoji13] [emoji13] )
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo baba nae hafai, mambo gani sasa hayo!!
 
Back
Top Bottom