Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Ah wapi!

Mnanisingizia tu.

Nikikwambia unitajie hao mademu wangu si ajabu ukanitajia FaizaFoxy, Lara1, Sekretari wa TMT, na vinuka mokojo wengine wasionipenda!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Umeanza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wamekutaja wenyewe...nini siri ya hawa watu kujileta aisee...kuna watu mnafaidi sana

Wamenitaja wangapi kwani? Manake mi nimeona mmoja tu...Le mbebz Mzigua90 aka Toto Mashallah aka Mchuchu wa viwango vya kimataifa aka Mrembo hakunaga aka Hakuna anayemfikia aka Mchumba asiye hata kipele aka Love of my life aka My all and all!

Teh teh teh.....navyomsifia hivi si ajabu namwongezea na maadui. Wasije tu wakammwagia tindikali mrembo wa watu!
 
Na huyo shosti wake Mama Sabi...
 
Bby punguza nitapigwa na mimi unajua sina nguvu
 
Hadi wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…