Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Oh no. Huyo mama ni mshikaji tu kama ilivyo kwako na Valentina.

Au Vale we ni mpenzi wako?

Halafu, hata kama huyo mama angekuwa mpenzi wangu, hiyo ingefanya idadi iwe wawili tu.

Sasa wawili ndo wengi? Come on bruh....nitendee haki bana.
Malizia mama sabrina we
Kuna watu hapo hawajawekwa kiwatengu hatendi haki
 
Oh no. Huyo mama ni mshikaji tu kama ilivyo kwako na Valentina.

Au Vale we ni mpenzi wako?

Halafu, hata kama huyo mama angekuwa mpenzi wangu, hiyo ingefanya idadi iwe wawili tu.

Sasa wawili ndo wengi? Come on bruh....nitendee haki bana.
Wawili sio wengi baby.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Karucee alipita hapa mida flani hivi...najua its only because ur name is here...[emoji1] [emoji1]
Mzigua usimind
 
Back
Top Bottom