RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Yule uliemkwapua humu hana chura? Tangu umkwapue yule mbele yangu nimekuchukia sana!Mimi sina kwa sababu mademu wa JF hawana chura!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule uliemkwapua humu hana chura? Tangu umkwapue yule mbele yangu nimekuchukia sana!Mimi sina kwa sababu mademu wa JF hawana chura!
Dogo umekuwa mbea?Kazi kweli kweli.
Kusoma bango kubwa la kituo cha mwendokasi nao umbea?Dogo umekuwa mbea?
Hii thread ilitakiwa ianzishwe na wewe.Ahahahahahah unamuonea kabisa kuna watu umewaacha daby anaweza shika namba 5 labda
Naanda list...
Naona kama Daby na Nyani Ngabu wako kwenye Nafasi za juu Kabisa.
Mzee Asprin naona uko mbali kidogo...
Nadhani itakuwa[emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we unawangapi? au kipili pili kinakuwekea obstacle??
Jukwaa la porojo utawekaje kifungu cha kidini tena kwenye mada, si utatafuta kukashifiwa uje kutoa laana zisizo na tija.Inategemea unaelekea wapi mkuu.
Mimi simo kabisa mzee baba....Naanda list...
Naona kama Daby na Nyani Ngabu wako kwenye Nafasi za juu Kabisa.
Mzee Asprin naona uko mbali kidogo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule uliemkwapua humu hana chura? Tangu umkwapue yule mbele yangu nimekuchukia sana!
Orodha ipu tena? Si mmeshatajwa hapo juu? Kumbe blaza kiwembe.....Hiyo orodha bado tu?
Kweli Mkuu, Zinaitwa Sifa za Kijinga.Mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako ana mademu wengi kuna tatizo hapo
Orodha ipu tena? Si mmeshatajwa hapo juu? Kumbe blaza kiwembe.....
Chit chatUzushi tu!
Stori zingine ukizisikia utacheka sana.
Chit chat
[emoji23] babu kwani siku hizi umeokoka?Nitake radhi we mwanamke mjukuu....
Waache waamini tu au kuamini kwao kunakuathiri?Sawa ni chit chat ila jua wapo wengine wanaoamini kila kitu aisee.