Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Inategemea unaelekea wapi mkuu.
Jukwaa la porojo utawekaje kifungu cha kidini tena kwenye mada, si utatafuta kukashifiwa uje kutoa laana zisizo na tija.

Wamiliki wa mtandao huu walitambua hilo ndiyo maana wakatenga majukwaa kuendana na mada zinazoongelewa. Zingatia majukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…