Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Waache waamini tu au kuamini kwao kunakuathiri?
Goood morning!kwa hiyo umeamua kunibwaga ?
Mdogo wangu pole pole basi...
Ujue hadi kaka zako tunapita huku..[emoji41]
Aaaaaah unatudanganya bwana.Mama Sabrina huyu Kaboom sura namuachia Mungu, hivyo niachie tu peke yangu.
Good morningNot in the least!
Wewe jamaa! Hii imeletwa ktk whatsapp group yetu last night! Nina mashaka tupo group 1 Mkuu!
Shikamoo babu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] sifa kama hizi zitakuongezea warembo wengine.Hiyo orodha bado tu?
Good morning
Hahaaaa. AiseeYule uliemkwapua humu hana chura? Tangu umkwapue yule mbele yangu nimekuchukia sana!
Awena wanguGoood morning!
Hahahahaj kumbe nae ana tabia hiyo kazi kusema wengine tuYule uliemkwapua humu hana chura? Tangu umkwapue yule mbele yangu nimekuchukia sana!
Kwanini?Hii thread ilitakiwa ianzishwe na wewe.
Wewe unanitisha mapema hakuna mpaka nimuone,,uzuri wanaume wa humu huwa hawana hila ati ngoja nifanye yanguMama Sabrina huyu Kaboom sura namuachia Mungu, hivyo niachie tu peke yangu.
Hebu utaje ukute wanguTafadhali kwenye list msimtaje yule mkaka ninayempendaa Nitapata gonjwa LA moyoooo
Hii picha imesambaa kila sehemu,insta ndio usiseme mi nimeiona toka juziWewe jamaa! Hii imeletwa ktk whatsapp group yetu last night! Nina mashaka tupo group 1 Mkuu!