General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Ulitaka tuwe tuna tajwatajwa na wao au kuwashobokea kila mara?nawaona...sema hamna effect sana kama wahusika wenyewe kwenye list
Uko informed.Kwanini?
Mmmh walaUko informed.
Nitajitahid nitaje herufi ya mwanzo ya jna lakeHebu utaje ukute wangu
Sitakiiiiii.Awena wangu
Chonde chonde nipo chini ya miguu yako, wewe sio wa kunifanyia hivi ujue!!!Wewe unanitisha mapema hakuna mpaka nimuone,,uzuri wanaume wa humu huwa hawana hila ati ngoja nifanye yangu
TajaNitajitahid nitaje herufi ya mwanzo ya jna lake
kosa langu ni niniSitakiiiiii.
Mwaka mpya na mambo mapya.kosa langu ni nini
jamaniii
Aaaaa sawa banaChonde chonde nipo chini ya miguu yako, wewe sio wa kunifanyia hivi ujue!!!
vyote vya kuchezea hukuona mpaka ucheze na moyo wanguMwaka mpya na mambo mapya.
Hahahahahahahahahahahah jamani Mo11vyote vya kuchezea hukuona mpaka ucheze na moyo wangu
kwanini hukuchezea hata mapu*bu yangu au hata game ya nyoka ??
KhaaaaBinti yako simuelewi ..
Nimemkuta anamuita mtu mme kule mwanzoni mwa uzi.
ShkamooMie niliogopa kukwambia nikawaacha mjuane wenyewe maana nae ana kalist siku hizi, sijui hata nani kamroga!!!
Leo unatoa shkamoo eh?Shkamoo
Ndio baba naveenLeo unatoa shkamoo eh?