Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Naanda list...
Naona kama Daby na Nyani Ngabu wako kwenye Nafasi za juu Kabisa.
Mzee Asprin naona uko mbali kidogo...
Duh!
Mimi tena? Acha kunisingizia bana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanda list...
Naona kama Daby na Nyani Ngabu wako kwenye Nafasi za juu Kabisa.
Mzee Asprin naona uko mbali kidogo...
nilikuwa nafanya utafiti ki underground, niliwahi kuazimwa humu kufanya ukaguzi...shughuli iliyonipa kauzoefu kidogo!!
ukaguzi wangu wa chini chini unasoma vyema. Umo
Nisha taste zote kuanzia South America za wa Venezuela na Wa Brazil mpaka North Americans, Europeans, Asians, Africans.teh teh...taste na varieties nyingine Al watan
number don't lie...(namba hazidanganyi)...
Kwani ni sifa nzuri?Mwanaume kumsifia mwanaume mwenzako ana mademu wengi kuna tatizo hapo
Jana kuna wadada wawili walianzisha thread ambazo niliona ni za hovyo sn naona leo mkaka nae kaungana nao.Hii thread imeandikwa na jobless
Weekend hiiJana kuna wadada wawili walianzisha thread ambazo niliona ni za hovyo sn naona leo mkaka nae kaungana nao.
Weekend hii
Eeh ungenisalimia.Halaf naww nlikuona kwny nyuzi hizo