Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh ungenisalimia.
Kweli kabisa.Kuna nyuzi huwa nasoma tu maana maudhui yake naona siendani nayo kbs
Kweli kabisa.
Huu unaendana nao?
Weka ushahidi[emoji23]nilikuwa nafanya utafiti ki underground, niliwahi kuazimwa humu kufanya ukaguzi...shughuli iliyonipa kauzoefu kidogo!!
ukaguzi wangu wa chini chini unasoma vyema. Umo
Mmmh kweli?Hili mikono nakosha, Bi. Zuhra anitosha.
Huwa unazipenda piaJana kuna wadada wawili walianzisha thread ambazo niliona ni za hovyo sn naona leo mkaka nae kaungana nao.
CC Nyani NgabuWeka ushahidi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] umemuita wa nini sasa,tunataka ushahidi
Kaniruhusu nikitaka kuoa mke wa pili. Mradi nimtambulishe kabla tu na amuheshimu.Mmmh kweli?
Mbona kina naniii... na naanihiii hajawataja kuna watu kama watano hapoKweli kabisa.
Huu unaendana nao?
Counted...mwishowe nitamwambia idadi yake.Nyani Ngabu njoo nikwambie.
Msalimie clarita mdogo wanguUkikaa kuwa thread za ovyo na zisizo za hovyo utajichosha...hii ni chit chat kiazi wewe
Hongera we ulieamua kutulia wenzio bado tunataka kuona nyuchi mbali bado hatujatoshekaKaniruhusu nikitaka kuoa mke wa pili. Mradi nimtambulishe kabla tu na amuheshimu.
Lakini nimekataa.
Sijui...[emoji23]Mbona kina naniii... na naanihiii hajawataja kuna watu kama watano hapo