Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Hahahahahaaa... eti za hovyo jamani. Binadamu bwana. Sasa unawezaje weka uzi kila mtu akaufurahia. Wa hovyo kwake sisi roho zetu zilikua kwatuuuHalooooo angeandikiwa yeye angesema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaaa... eti za hovyo jamani. Binadamu bwana. Sasa unawezaje weka uzi kila mtu akaufurahia. Wa hovyo kwake sisi roho zetu zilikua kwatuuuHalooooo angeandikiwa yeye angesema
Nikajua hujaona [emoji2][emoji2][emoji2]Nishaonaa hahaha
[emoji41][emoji41]Nimekumiss pia mume... Nani amekuteka jamani
Hahahahahhahahaaaa..Aandikwe kwa lipi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee! Mlishindwa hata kunipa kadi ya mualiko kama za mchango ziliisha..?Mke sorry sema kuna kikazii kiliniweka bize ila nakumis hatari
Jamani mume.... Usiniache hivyo
Hii coment imeandikwa na uselessHii thread imeandikwa na jobless
Kuandikwa nacho kipajiHahahahahhahahaaaa..
Sisemagi uongoha ha ha ha...umeamua kufanya authorization kabisaaa...we kiboko
Next time mkuu andaa list ya wanawake wenye wanaume wengi jf...Una michepuko balaa
YaaniNajuaa sanaaa ..na nilitegemeaa afichwee
Hahahaha jomoniiiiiAandikwe kwa lipi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Je una sifa/mvuto za kuandikwa? Sasa kama huna unatulia wenzio wasifiwe sio uone wanaosifiwa vilaza wakati wenzie sisi tulikua tunaenjoyKuandikwa nacho kipaji
Sio unatoka huko tu na masarawili yako unategemea kuandikwa.
Baba mkwe tusameheeee...tunatambua uwepo wakooAisee! Mlishindwa hata kunipa kadi ya mualiko kama za mchango ziliisha..?
Nina mume mmoja na mchepuko mmoja tuu
Sasa je hatupo hapa kumfurahisha mtu sieHahahahahaaa... eti za hovyo jamani. Binadamu bwana. Sasa unawezaje weka uzi kila mtu akaufurahia. Wa hovyo kwake sisi roho zetu zilikua kwatuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui anatafuta viza ??Yaani
Nammiss balaa
50/50 sio kwenye kila jambo shemejiNext time mkuu andaa list ya wanawake wenye wanaume wengi jf...
I hope wanapenda mambo ya 50/50..[emoji41]
Mahari yako wapi?Baba mkwe tusameheeee...tunatambua uwepo wakoo