Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Sawa tu.Warembo wote wa jf twawafahamu hata wewe toto la kihaya
Kwani unafikiri humu hatufahamiani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tu.Warembo wote wa jf twawafahamu hata wewe toto la kihaya
Mbona kama umepotea njiabali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema Bwana,
Yeremia 9:24
Eee hata sie wakaka wote wale maarufu humu tunawajuaWarembo wote wa jf twawafahamu hata wewe toto la kihaya
Yaan hizi mbo.oo zilaaniweMwalimu wetu kipofu eti...alafu ana mtindio wa ubongo.
Jambo veve?Sinywi pombe.
Typo.
Mbona una makusudi sana ila namba moja anashika yule yule dah![]()
Hao hapo ndio Top 3...
Ngoja niagize whisky iishe...
Nitataja namba 4 hadi 10 ..
Atakuwa na ID 2.Eee hata sie wakaka wote wale maarufu humu tunawajua
Wewe cheza makida makida tuu watoto walaleTwende basi unisaidie kubeba maji
KabisaaAtakuwa na ID 2.
Shkamo.Jambo veve?
MmmhWewe cheza makida makida tuu watoto walale
Umenikumbusha ile hadithi 'HERI MIMI SIJASEMA'Silent killer tumetulia
Ila sijui kama morani yupo hapo..Mbona una makusudi sana ila namba moja anashika yule yule dah