Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Na Mwanaume mwenye Mademu Wengi JF ni...

Watu na waume zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Nimekumiss pia mume... Nani amekuteka jamani
Mke sorry sema kuna kikazii kiliniweka bize ila nakumis hatari
Jamani mume.... Usiniache hivyo
Wala usiofuu make na network ilikuwa sio nzurii ila nimerudiiii [emoji8]
Karibu mume[emoji8] [emoji8]
Aisee! Mlishindwa hata kunipa kadi ya mualiko kama za mchango ziliisha..?
Next time mkuu andaa list ya wanawake wenye wanaume wengi jf...

I hope wanapenda mambo ya 50/50..[emoji41]
Uwiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu shunie mimi
 
Back
Top Bottom