Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kiufupi mashabiki na nyie mnapenda stress za hovyo; look Yanga ni Timu bora kwa sasa na wapo serious kwamba wanataka kuachana na traditionnal football na hawana muda na political football.
SSC bado wanaamini kwenye political football na traditional ways of doing things , kwa staili hiyo, Yanga ataendelea kuitandika SSC as much as anajisikia.
Kwa mfano timu serious , unaamini utapata timu bora Huku Upo na Mohammed Hussein , Shomari🤣 hao watu wameitumikia SSC for the past 5 years hawana jipya tena hata wajitutumue vipi. Hussein ni uchochoro na kapombe ni uchochoro . Unapofanya reforms haipaswi kuangalia mtu usoni.
Wachezaji wa SSC bado hawana stamina na ile spirit ya kuutafuta moira. Kuna kitu Yanga wanacho , nadhan hii ni philosophe ya kocha, wachezaji wana spirit ya kupeleka mpira mbele na wana team work ya ajabu sana hawa Yanga.
Yanga ina wachezaji wakawaida tu , but team work yao ni ya ajabu sana Maa shaa Allah . SSC hawana spirit na hawana team work , ni hopeless team .
All in all , Sijapenda Yanga kumsajili Chama kwa maana hana maajabu na hatokuwa na maajabu kwa namna yoyote ile . . Bado anatembelea nyota yake ya zamani ila ninaamini chini ya Gamond, benchi litamuhusu.
SSC nyie kila siku mnaboresha timu, ni lini mtatuonesha matokeo ya investment ? . You are failure and hopeless as always
Sapoti yetu kwa sasa ni Yanga na Azam