Na nyie mmeliona hili kwa mabinti wa kuanzia 2000-2005?

Choo cha nje unampelekaje mtoto wa watu?
 
maigizo ngoja nami nitoe ushuhuda kuna jamaa eti kila akimaliza kazi anaenda kuoga mmh jamaa ni sekunde kama kuku nikawa najiuliza sasa anaoga kila mara kwa kazi ipi.
mnaosikia wanaoga baaada ya kazi inakuwa kazi kweli.
Ha haa πŸ˜†
Nyie watoto mtatuuliia vijana wetu wa kiume.
Wataanza kutafuna mizizi pori ya sumu, kunywa vidonge vya Vega.. bila kipimo mradi wawatoe jasho mabinti.
 
Hujakosea mkuu, hivi vitoto vya elfu mbili jau Sana.
Kuna kamoja niligonga last month kakawa kanataka kuondoka bila kuogaπŸ˜‚
hukukatoa jasho
Ha haa πŸ˜†
Nyie watoto mtatuuliia vijana wetu wa kiume.
Wataanza kutafuna mizizi pori ya sumu, kunywa vidonge vya Vega.. bila kipimo mradi wawatoe jasho mabinti.
asa alikuwa anaoga nini kila mara sijui aliisoma wapi
 
Mkuu waache watoto wadogo waende kwenye uzima wa milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…