Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Haahahaha wape GG ulale.
 
Umejaribu wanaume wangapi wanaonuka hayo mapumb.u
Kma ni mpenz wako kwann usimwambie ukweli
Acha unafiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbilia kwa ras simba, wiki tu unajibebea huu mzigo.

Huu ushauri nitaufanyia kazi, uzuri Ras Simba nasikia usipoweza unarudishiwa.
 
mikono yetu mifupi haifiki kwenye pumbu tunashidwa kuziosha muwe mnatusaidia nyie wake zetu.Ila na nyinyi hivo vipochi manyoya vyenu vinatemaga hatari halafu nimegundua kwamba la mwanamke linanuka vibaya kuliko la mwanaume apite binti anayenuka kwapa mbele yako walayhi unatapika
 
Pooovuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui unanisema Mimi au wale wenzangu......Ila bora ungetuita ofisini ukatuambia siyo kuja kusema huku
 
unakuta tu mkaka heshi kukusifia sifia...hana lolote anataka kukuchanua tu na mabinti wa siku hizi wasivyo na staha...basi wanaume wanapokezana tu ofisini kama mpira kila awezaye ajilie.
Huu Mstari unaonesha wewe ni Mwanamke wa aina Gani, Elimu Muhimu sana! Despite of your Low IQ
 
Dah....si utani...shemeji anafaidi sana [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Baada ya kukatalwa kupigwa pumbu umeona uje umseme Jamaa pamoja na Demu aliyekuibia huyo jamaa.

Una sound kama m'mbea mbea hvi, mtu wa Lomoni sana, kusemasema watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…