Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Eeh heading kwanza leo. Ili apate support ya wadada kuelimisha wakaka.
Siku nyingine ndiyo sisi ili apate support kwa wakaka.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] sasa ya leo amefanya Uzi upooze ka uji wa mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mchanyato sio poa kabisa.
 
Wewe Mmama unatuchanganya,Ulituambia tujifunze kiingereza hata kozi hatujamaliza unaleta hili la usafi..Tushike lipi tuache lipi??Na hapo hapo tuna homework ya kujifunza kutongoza !!Tuache kidogo ujikite na malezi ya watoto wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inaitwa utajitafuta na kujijua mbele ya safari. Kama elimu yetu tu, unasoma vitu kibaaao mwisho wa siku unajitafuta.
 
Huu uzi ata sijaelewa unasungumzia nn..
Mara pumbu,mara soks,Mara kutongozwa,Mara kukuta mtu anajazwa ngenye jikoni,siju kupigwa kidole,Mara ngangari...

Mleta mada sijui nikufananishe na na nn ata avatar yako inahakisi matendo yako mean ata kucha za mkono wako wa kushoto ni ndefu kama jini alafu unajifananisha na wasafi wakati unadeal na tissue kuliko maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na alisema yuko very smart maana wanawake wa zamani hamna zoba.
 
Kaweka Avatar ya kuwavutia wamekausha, mada za kuwatega ajabu wamefunga vioo, baada ya wiki anakuja na mada ya vibamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliseka avata inawavutia wasomaji wasome mada. Bila hivyo hawaji, mwanaume wa zamani ana shida huyu.... ooops mwanamke wa zamani ana shida huyu.
 
Back
Top Bottom