Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lohMifupa ya mafisi hiyo, wengine meno yetu ni kwa ajili ya nyama zisizo na mifupa.
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lohMifupa ya mafisi hiyo, wengine meno yetu ni kwa ajili ya nyama zisizo na mifupa.
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Naanzaje kwani?? Au kwa kuwa nina huruma sana??
Si uliniambia nipunguze huruma sio kila anaeomba anaomba kweli
Hapa tu?? Koteeee rafiki. Hunipendi eee???Kiukweli hapa waachie mafisi waende
[emoji23][emoji23]Wewe Mmama unatuchanganya,Ulituambia tujifunze kiingereza hata kozi hatujamaliza unaleta hili la usafi..Tushike lipi tuache lipi??Na hapo hapo tuna homework ya kujifunza kutongoza !!Tuache kidogo ujikite na malezi ya watoto wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha sina muda wa mchezo...Huyu akianzisha nyuzi tunaweka kambi tunaanzisha vijiwe vyetu vya kupiga story .Jiongeze mkuu bahati haiji mara mbili [emoji3][emoji3][emoji3]
HahahahShida ni kiingereza, maana alisema kama hakipandi usijidanganye kwenda.
Well, I wish I could tell you that but I know you won't listenHapa tu?? Koteeee rafiki. Hunipendi eee???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeh heading kwanza leo. Ili apate support ya wadada kuelimisha wakaka.
Siku nyingine ndiyo sisi ili apate support kwa wakaka.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] sasa ya leo amefanya Uzi upooze ka uji wa mgonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe Mmama unatuchanganya,Ulituambia tujifunze kiingereza hata kozi hatujamaliza unaleta hili la usafi..Tushike lipi tuache lipi??Na hapo hapo tuna homework ya kujifunza kutongoza !!Tuache kidogo ujikite na malezi ya watoto wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida ni kiingereza, maana alisema kama hakipandi usijidanganye kwenda.
Na alisema yuko very smart maana wanawake wa zamani hamna zoba.Huu uzi ata sijaelewa unasungumzia nn..
Mara pumbu,mara soks,Mara kutongozwa,Mara kukuta mtu anajazwa ngenye jikoni,siju kupigwa kidole,Mara ngangari...
Mleta mada sijui nikufananishe na na nn ata avatar yako inahakisi matendo yako mean ata kucha za mkono wako wa kushoto ni ndefu kama jini alafu unajifananisha na wasafi wakati unadeal na tissue kuliko maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliseka avata inawavutia wasomaji wasome mada. Bila hivyo hawaji, mwanaume wa zamani ana shida huyu.... ooops mwanamke wa zamani ana shida huyu.Kaweka Avatar ya kuwavutia wamekausha, mada za kuwatega ajabu wamefunga vioo, baada ya wiki anakuja na mada ya vibamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dogo usinitishe, nimebakiza siku 5 tu naingia kwahiyo takuwa na stress?[emoji134][emoji134][emoji134]Stress za kukabiliana na Menopause pindi inapo anza kuwa pigia hodi huwa Ni mbaya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wenzako wako msibani kuhani wewe unahangaika na harufu ya pumbu! Kweli wanawake mna taabu.
Bibie una utani nae??? Hahahaahahaah