Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Ametofautishaje harifu ya pumbu au soksi au alikuwa amenusa nyeti za sharobaro maana msibani kuna mengi inawesekana ninharufu ya mazingira ya msibani ila we mama kiboko Jamani harufu ya pumbu ikoje
 
Mhusika yuko humu?!
Tumeenda kwenye msiba wa mwenzetu mmoja kafiwa na mumewe.actually haikuwa hasa imepangwa iwe leo.lakini baada ya kusikia maiti inasafirishwa leo jioni basi ikaonekana ofisi nayo ihusike kwa njia moja au nyingine kumfariji mwenzi wetu.

Nyie wakaka wengine mnaonekana mmependeza kwa nje na kujipuliza manukato n.k lakini wengine mnanuka mapumbu ile mbaya.

Yaani leo kidogo nitapike mkaka kabisa amekaa pembeni yangu harufu inatoka kwenye boxer wallah unaweza tapika.yeye hana shaka kabisa anapiga tu stories.na kibaya zaidi ni mume wa mtu.hii inakuaje kaka zanguni?

Matatizo makubwa ya wanaume wengi ni kunuka mapumbu,soksi chafu/zinanuka na mdomo.sielewi ni nini tatizo.ingawa wapo pia na wa vikwapa hawa angalau miaka hii wanapungua.

Mkaka huyu huyu siku moja eti naye ananijaribu "mamshuza shemeji anafaidi" nlimkata jicho hilo ...maana nliona hata uvivu kumjibu.baadaye alikuja kuniomba radhi. Mimi huwa sipendi utani wa kibazazi...tena staki kabisaaa....maana wanaume nmeshaona ofisini wanavyowatenda wanawake mdebwedo.hadi wanawashika makalio.

Siku nmekasirishwa na binti mmoja kakumbatiwa jikoni anacheka cheka tu na ni mke wa mtu...nlishangaa sana na kumwita kumsema kuwa ule uchafu wasifanye mbele yangu.khaaa...mwisho wajatiwa madole useme wanaume wabaya kumbe wawakaribisha mwenye na nyege mshindo zako.

Haya mazingira wakaka huanza kujenga mbali...unakuta tu mkaka heshi kukusifia sifia...hana lolote anataka kukuchanua tu na mabinti wa siku hizi wasivyo na staha...basi wanaume wanapokezana tu ofisini kama mpira kila awezaye ajilie.

Nikasema staki mazoea na mtu...na wanaume wenyewe ndo hawa wananuka pumbu, wakivua soksi zinanuka...kichefu chefu kabisa.ya nini yote hayo na bamshuza yupo for me.

Hebu safisheni vinywa vyenu
Safisheni mapumbu au boksa
Safisheni soksi kila mara
Kucha nazo ziwe safi na mikono

Muwe soap soap ila siyo nyoronyoro...eeeehh....maana sasa hapo si sababu ya wanaume kuanza kurendembuka na kulambalamba lips kama mbwa...eti swaga... Swaga zipo kitandani. Kuweni ngangari lakini wasafi na wenye mvuto.na sauti mkaze siyo mnaongea sauti kama mnatongozwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaweka Avatar ya kuwavutia wamekausha, mada za kuwatega ajabu wamefunga vioo, baada ya wiki anakuja na mada ya vibamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] stress mbaya sana mdogo wangu usiombe yakukute
 
Huu uzi ata sijaelewa unasungumzia nn..
Mara pumbu,mara soks,Mara kutongozwa,Mara kukuta mtu anajazwa ngenye jikoni,siju kupigwa kidole,Mara ngangari...

Mleta mada sijui nikufananishe na na nn ata avatar yako inahakisi matendo yako mean ata kucha za mkono wako wa kushoto ni ndefu kama jini alafu unajifananisha na wasafi wakati unadeal na tissue kuliko maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mada ni nini hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikafikiri nn mm tu sijaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahenga tunafata msemo wa "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza".

Ukiona hizi invitation za kulazimishana ndo kujitembeza kwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23] msaidieni jamani ukiona mtu mzima analia kuna jambo
 
Back
Top Bottom