Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Tuliotofautiana nae mawazo kwenye ule uzi wote tuliitwa wauzaji na mimi nikakubali kuvaa uhusika maana hainipunguzii chochoteWauzaji???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliotofautiana nae mawazo kwenye ule uzi wote tuliitwa wauzaji na mimi nikakubali kuvaa uhusika maana hainipunguzii chochoteWauzaji???
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbaba?????
Msimfanye akajuta bureee
Haha mwanamke kama huyu wakazi gani ..si-bora nije nikulilie wewe hawachi wangu ... walau unifute chozi ... mwanamke ana maneno kama google translater !!!!Ina maana hamuelewi soma vibaya hivyo kaka zetu
Yes rafikiRafiki rafiki rafiki
Holla bab! How are you bro??Stress za kukabiliana na Menopause pindi inapo anza kuwa pigia hodi huwa Ni mbaya Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakujaaaaaaaa💪💪💪💪💪😘😘😘😘😘Hapana. Wewe uje PM kwangu[emoji85]
Tumeenda kwenye msiba wa mwenzetu mmoja kafiwa na mumewe.actually haikuwa hasa imepangwa iwe leo.lakini baada ya kusikia maiti inasafirishwa leo jioni basi ikaonekana ofisi nayo ihusike kwa njia moja au nyingine kumfariji mwenzi wetu.
Nyie wakaka wengine mnaonekana mmependeza kwa nje na kujipuliza manukato n.k lakini wengine mnanuka mapumbu ile mbaya.
Yaani leo kidogo nitapike mkaka kabisa amekaa pembeni yangu harufu inatoka kwenye boxer wallah unaweza tapika.yeye hana shaka kabisa anapiga tu stories.na kibaya zaidi ni mume wa mtu.hii inakuaje kaka zanguni?
Matatizo makubwa ya wanaume wengi ni kunuka mapumbu,soksi chafu/zinanuka na mdomo.sielewi ni nini tatizo.ingawa wapo pia na wa vikwapa hawa angalau miaka hii wanapungua.
Mkaka huyu huyu siku moja eti naye ananijaribu "mamshuza shemeji anafaidi" nlimkata jicho hilo ...maana nliona hata uvivu kumjibu.baadaye alikuja kuniomba radhi. Mimi huwa sipendi utani wa kibazazi...tena staki kabisaaa....maana wanaume nmeshaona ofisini wanavyowatenda wanawake mdebwedo.hadi wanawashika makalio.
Siku nmekasirishwa na binti mmoja kakumbatiwa jikoni anacheka cheka tu na ni mke wa mtu...nlishangaa sana na kumwita kumsema kuwa ule uchafu wasifanye mbele yangu.khaaa...mwisho wajatiwa madole useme wanaume wabaya kumbe wawakaribisha mwenye na nyege mshindo zako.
Haya mazingira wakaka huanza kujenga mbali...unakuta tu mkaka heshi kukusifia sifia...hana lolote anataka kukuchanua tu na mabinti wa siku hizi wasivyo na staha...basi wanaume wanapokezana tu ofisini kama mpira kila awezaye ajilie.
Nikasema staki mazoea na mtu...na wanaume wenyewe ndo hawa wananuka pumbu, wakivua soksi zinanuka...kichefu chefu kabisa.ya nini yote hayo na bamshuza yupo for me.
Hebu safisheni vinywa vyenu
Safisheni mapumbu au boksa
Safisheni soksi kila mara
Kucha nazo ziwe safi na mikono
Muwe soap soap ila siyo nyoronyoro...eeeehh....maana sasa hapo si sababu ya wanaume kuanza kurendembuka na kulambalamba lips kama mbwa...eti swaga... Swaga zipo kitandani. Kuweni ngangari lakini wasafi na wenye mvuto.na sauti mkaze siyo mnaongea sauti kama mnatongozwa.
[emoji23][emoji23][emoji23] stress mbaya sana mdogo wangu usiombe yakukuteKaweka Avatar ya kuwavutia wamekausha, mada za kuwatega ajabu wamefunga vioo, baada ya wiki anakuja na mada ya vibamia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha Ma Mchuza ukuje huku vijana hawaelewi somoHaha mwanamke kama huyu wakazi gani ..si-bora nije nikulilie wewe hawachi wangu ... walau unifute chozi ... mwanamke ana maneno kama google translater !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kuniangusha [emoji23][emoji23][emoji23]Tunachukua tahadhari, unatufanya mapunguaniiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mimi ntaenda piyemuni
Duh! Hakujui jamaniTuliotofautiana nae mawazo kwenye ule uzi wote tuliitwa wauzaji na mimi nikakubali kuvaa uhusika maana hainipunguzii chochote
Huu uzi ata sijaelewa unasungumzia nn..
Mara pumbu,mara soks,Mara kutongozwa,Mara kukuta mtu anajazwa ngenye jikoni,siju kupigwa kidole,Mara ngangari...
Mleta mada sijui nikufananishe na na nn ata avatar yako inahakisi matendo yako mean ata kucha za mkono wako wa kushoto ni ndefu kama jini alafu unajifananisha na wasafi wakati unadeal na tissue kuliko maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikafikiri nn mm tu sijaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki tumeitwa na bibie. Umeona ndindindi ile???Yes rafiki
Mdaka chozi huyo 😀😀😀Hujawahi kuniangusha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] msaidieni jamani ukiona mtu mzima analia kuna jamboWahenga tunafata msemo wa "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza".
Ukiona hizi invitation za kulazimishana ndo kujitembeza kwenyewe.
Nije tuwasapuke??Hujawahi kuniangusha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyo???Mdaka chozi huyo 😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana nikasema hata mtu akiniita muuzaji hainipunguzii chochoteDuh! Hakujui jamani
Wew mkuuNani huyo???