Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

Na nyie wanaume/kaka zangu zingatieni mambo haya ya unadhifu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama mshuzaaaa on the beat!!

Ila kuna mahali umenipoteza kidogo mzee mwenzangu, kwani unatusema wanawake au wanaume wanuka mbupu?? Hebu kwa leo tukonsetreti huko kwingine tu.
Tunashindwa kuelewa tusute wanaume au[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo vijana hamchangamki mama tangu alipoanza kuhangaika mnajikausha

Hivi imekuwaje ukapita kwenye hii thread!

Maana hadi nimeona aibu nilivyoona like yako.
 
Nimeshindwa kukuelewa kwasababu umezungumzia vitu vingi kwa wakati mmoja, next time jifunze ku sticky kwenye hoja moja na sio kudandia dandia hoja, ila ujumbe umefika japo kwa shida shida.
 
Back
Top Bottom