Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Dah! Dunia uwanja wa fujo! Hizi nazo ni vurugu tu hamna jingine.
 

 
Upole wa namna hiyo wa jamaa sina aisee


Sent from my iPhone 5s using JamiiForums mobile App
 
Wengine wanaboa sana, mpaka kususa kula [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaanai kama yale maminyama yanayojivuta kama mnyoo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine mpaka ratiba za kula chakula cha wakubwa mpaka atume maombi kwa mkewe, yaani wana mhatack mtoa uzi ili kuna me wazubaifu hawezi hata kusoma mke hapa anahitaji nini anakuwa kama house boy tu mule ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama libata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wekeni wazi kwenye media kuwa hamtaki tuwatetee kuhusu unyanyasaji wa kijinsia hamtaki madawati ya kijinsia kwa ajili yenu vichapo kwenu baridi tu.

Hakuna habari za kuchapwa kofi moja wala mawili mwanaume anaepiga makofi hayo hana kashkash na hajakasirika.
 
Sikubaliani na wazo au hoja yako ya wanawake kupigwa au kuwa abused kwa namna yeyote ile iwe physical au mentally. Pia huo ni ukoloni na ujima.hakuna mwanamke mwelewa na anayejitambua ata-behave hivyo na kukubali vipigo kwa namna yeyote ile maybe hao unaokutana nao!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi mpiga mke wangu hua namkoromea tu akizingua,
Juzi jumamosi kamchepuko kangu kakazingua kutaka kunipanda kichwani tuko lodge nilimzaba kibao cha haja adi akaenda chini, nikam'beba nkamlaza kitandandani.... Baadae akili imemkaa sawa akaomba msamaha mambo mengine yakaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote ulivyosema ni sawa.
Tatizo lipo hapo mwisho uliposema, .... "msema "ukweri" mpenzi wa mungu"

Masahihisho: ukweri = Ukweli
 
Aafu Kuna wanaume wanaogopa kuongeza mke kisa wanawaonea huruma wake zao.!!
Kuna wakati wanaume tunafanya Mambo ya wanawake!!
Unapojifanya wewe mtiifu na mwaminifu kwa mkeo, mwenzio anakuletea watoto wasio wako ueendelee kumtunzia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mtupu yaani wanawake hawapendi uparokoparoko uliopindukia . Sometimes tandika, halafu wakati anashangaa gegeda, yaani usijilegezelegeze kama yeye. They want us to be real men. Ila tuwe na hela hela pia siyo unapiga mtu makofi huku ana miezi hata kakuku choma hajala ,
 
Women don’t love as men love, Men Should Learn to love themselves first not a woman. Put yourself first. This feminist Conditioning of Men into Women makes me cry especially when I read Threads like this from women.
Men have been Conditioned From Childhood through School and the media and religion and music and social media to believe that women are the Prize while in real sense Men are the real Prize.
There are Men Unconscious Beliefs That Men Believe are True While they are in deed Big Lies.
Men Love yourselves. Teach your Your Boys and Young Brothers to Love themselves.

Men are the Prize. A woman is supposed to be a COMPLIMENT to a Man’s Life never the Focus of Your life.

No Wonder Our God is a God of Individuality not of a Group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…