Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Ungekuwa na akili ungegundua kuwa makusudi imeandikwa hivyo na ndo maana imewekwa kwenye mabano....

Vyote ulivyosema ni sawa.
Tatizo lipo hapo mwisho uliposema, .... "msema "ukweri" mpenzi wa mungu"

Masahihisho: ukweri = Ukweli
 
Women don’t love as men love, Men Should Learn to love themselves first not a woman. Put yourself first. This feminist Conditioning of Men into Women makes me cry especially when I read Threads like this from women.
Men have been Conditioned From Childhood through School and the media and religion and music and social media to believe that women are the Prize while in real sense Men are the real Prize.
There are Men Unconscious Beliefs That Men Believe are True While they are in deed Big Lies.
Men Love yourselves. Teach your Your Boys and Young Brothers to Love themselves.

Men are the Prize. A woman is supposed to be a COMPLIMENT to a Man’s Life never the Focus of Your life.

No Wonder Our God is a God of Individuality not of a Group.
Mkuu wanaume tumehama kambi siku hizi tunatetea wanawake.
Huwa nashangaa Sana mwanaume na pu.mbu mbili anashangaa mwanaume mwenzake kuwa na mke zaidi ya mmoja!!

Yaani kabisa unafanya interest za wanawake unajiona mwanaume!!
Ndoa kibao Sasa hivi Kuna watoto wasiokuwa wa baba husika aafu unaishia kufarijiwa kuwa kitanda hakizai haramu.
Na wewe unaambiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja dhambi.!!
Na mke wako kashakuwa na mme mwingine ndani ya mahari uliyoitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ya kunyanyaswa kingono mkiwa watoto burudani yenu mnapata pale mnapoendelezewa matukio yaleee yaliyokwisha kuwapata

Lets fight against sex abuse.
KABISA!
YANI NILITAKA KUANDIKA KITU HIKI HIKI ULICHOANDIKA HAPA!
MI UNIPIGE KISHA UNIPANDE NAWEZA NIKUUUE UKIWA UNAKOJOA!
hakyamama, SIWEZI VUMILIA AINA YOYOTE YA UKATILI!
A MAN, MY MAN, IS A MAN WITHOUT VIOLENCE!
 
Funguka shemeji...

Child abuse ina athari zake ukubwani. Yaani mtu anaomba atandikwe mabao kabisa? Afu akitandikwa mavibao ndo kisimi kinasimama.

Wonders shall never end
 
Funguka shemeji...

Child abuse ina athari zake ukubwani. Yaani mtu anaomba atandikwe mabao kabisa? Afu akitandikwa mavibao ndo kisimi kinasimama.

Wonders shall never end
ENH NDO NASHANGAA HAPA!
yani mwanaume akupige we ndo usikie raha akikuchania chupi,unaloa!
NYIE JAMANI!
watu wametambullishwa sex katika unyanyasaji wa hali ya juu!
Hakuna namna ukatili utanifanya nimuone mwanaume kuwa mwanaume!
YANI SIWEZI TAZAMA MWANAUME KUWA NI DUNI KWA KUWA ANANITREAT KIBINADAMU, ANANIOMBA MSAMAHA NA KUNIFANYA NIFURAHI!
heeee! watu kumbe wanataka mapenzi ya aina gani?
ah shemeji mi siwezi stand ukatili aisee!
mengine tutavumiliana ila UKATILI JUU YA HUU MWILI WANGU NAVOUPENDA KAMA PERDIEM!
ehehhehehehhehehhee hakiiii mamako atapokea vidole kwenye Dar Express.
 
Leo mnataka kupigwa makofi japo mawili , hahaha
 
MWANAUME AKISHAKUWA ANAPIGA TU, IS A COWARD!
kama huwezi fanya mwanamke wako akuone mwanaume kamili ukiwa hujakunja ngumi ujue ,WEWE PUNGASESE TU!
mwanaume hahitaji KUNIPIGA kunifanya niwe MWANAMKE!
UNAACHA KUWA MWANAUME THE MOMENT UNATAFUTA UANAUME KWA KUWA MSHIRIKI WA DOMESTIC VIOLENCE!
 
Kuna mademu wengine wana hulka za hivyo yaani bila kurupushani hamuendi sana kabisa , na utakuta wengine wanasababisha ukorofi yu makusudi ili kurupushani iibuke na mwanaume wake , akiona vinazidi anatulia
ENH NDO NASHANGAA HAPA!
yani mwanaume akupige we ndo usikie raha akikuchania chupi,unaloa!
NYIE JAMANI!
watu wametambullishwa sex katika unyanyasaji wa hali ya juu!
Hakuna namna ukatili utanifanya nimuone mwanaume kuwa mwanaume!
YANI SIWEZI TAZAMA MWANAUME KUWA NI DUNI KWA KUWA ANANITREAT KIBINADAMU, ANANIOMBA MSAMAHA NA KUNIFANYA NIFURAHI!
heeee! watu kumbe wanataka mapenzi ya aina gani?
ah shemeji mi siwezi stand ukatili aisee!
mengine tutavumiliana ila UKATILI JUU YA HUU MWILI WANGU NAVOUPENDA KAMA PERDIEM!
ehehhehehehhehehhee hakiiii mamako atapokea vidole kwenye Dar Express.
 
Kuna mademu wengine wana hulka za hivyo yaani bila kurupushani hamuendi sana kabisa , na utakuta wengine wanasababisha ukorofi yu makusudi ili kurupushani iibuke na mwanaume wake , akiona vinazidi anatulia
Kama una huyo mwanamke wa hivyo!
Chunguza utotoni kwake, kuna mengi yanakuwa ndo chanjo!
NAMNA ALIVYOKUWA ORIENTED KUWA SEX AND LOVE IS ALL ABOUT A MAN KUWA VIOLENT!
ni zao la child abuse!
 
Mwanamke mi simpigi kofi wala ngumi ila mkwara wangu unamtosha kabisaaa ., japo mi ni mpole ila sinaga unyonge kupitiliza labda niwe nimemkosea mimi nitakua mnyenyekevu wa kiasi.,

Nakumbuka kuna mdada aliniletea shit flani hivi, kiukweli nilivimba haswa ila nikamsogelea nae akarudi nyuma nikadaka mikono yake miwil sehemu moja nikaipiga lock ktk kiganja changu nikabaki na mmoja

Nikamsogezea uso kwa usirias akawa wa baridii nikamwambia sipendi dharau sioni pa kukupiga kelele zako zinaniletea nyegez tu

Au unataka nikupige nikampiga tako moja paa alafu mkono ukabaki apo apo huku namtizama ki usirias then nikaliminya kidogo akatuliaa

Mwisho nikampima na oil kashaloana mi dushe lishasimama nikamwambia unaonaa anajing'ata maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana niliwahi sema mwanamke kupigwa kakofi hata kamoja mara moja kwa mwaka inasaidia hata kudumisha penzi,muwashe kofi la kishkaji ili ajue kuwa humu ndani kuna mwanaume anaetakiwa kumtii,sio anaishi na wewe kama vile wote ni wanawake...
 
Story inafurahisha kusoma hii , ila wanawake yaani hamna siri kabisa, yaani shosti wako amekueleza wanayofanya na mchepuko wake ilihali ana mme wake na bila shaka mume wake unamjua pia haoni kwamba unaweza enda mueleza anayofanya na mwanaume mwingine,
 
ENH NDO NASHANGAA HAPA!
yani mwanaume akupige we ndo usikie raha akikuchania chupi,unaloa!
NYIE JAMANI!
watu wametambullishwa sex katika unyanyasaji wa hali ya juu!
Hakuna namna ukatili utanifanya nimuone mwanaume kuwa mwanaume!
YANI SIWEZI TAZAMA MWANAUME KUWA NI DUNI KWA KUWA ANANITREAT KIBINADAMU, ANANIOMBA MSAMAHA NA KUNIFANYA NIFURAHI!
heeee! watu kumbe wanataka mapenzi ya aina gani?
ah shemeji mi siwezi stand ukatili aisee!
mengine tutavumiliana ila UKATILI JUU YA HUU MWILI WANGU NAVOUPENDA KAMA PERDIEM!
ehehhehehehhehehhee hakiiii mamako atapokea vidole kwenye Dar Express.
Hahaha shemegi ntakudai mbavu zangu wallah... Khaaa! Nadhani hii ndo inafanya baadhi ya wanawake kwenda kwa waganga

Mi kademu kangu ka kwanza nilikasukumaga kidogo tu... ndo ukawa mwisho wetu LOL sasa ningekalamba kibao si kangenipeleka polisi?? Hahahah

Mi mwanamke wangu namcharaza kwa dudu tu. Nikimcharaza vizuri mwenyewe naona navyonyeyekewa na kubebishwa.

Mwanamke anayependa kuchapwa vibao lazima atakuwa kapitia mengi sana. Kesho naenda kuwafanyia ibada wanawake wa namna hio
 
Ewaaaah!
MI NA MWILI JUMBA WOTE HUUUU NIFANYE TU NIWE MWANAMKE NA NIKUONE UNAMUME WAKO KWA MAPENZI NA MAHABA NA KUNIPA DUNIA SABINI KICHWANI, enh na UANDUNJE au uslim fit WAKO hivo hivoooo!
ntukuogesha mpk kwa maziwa na kukupaka asali.
ILA UNIJIE NA HABARI ZA OH UNaJUA MI NDO MWANAUME HUMU NDANI, ah sabutuuuuuuuuuu!
NTAKUVALISHA PEDI KILA SIKU!
hakyamama vile, kila siku utaenda kununua HQ teeeena zile za martenity.

A REAL MAN is just one aiseeeh!
HAHITAJI ANYTHING KUJALADIA UANAUME WAKE!

HE IS JUST A FULL PACK , imetulia pale!
one anajua kukufanya ujiskie mwanamke, kila ukimuona unakumbuka unavyofungua sidiria
AHAHAHAHHA shemeji huku sasa nimeanza kuhudhuria ibada shirikishi!
Na kwadegezma yote hii, heb niwache
 
Back
Top Bottom