Na nyie Wanaume mjitahidi muwe na uanaume ndani yenu. Unakuta Mwanaume Fala/Kapoa mpaka basi

Umebahatika kuishi tofauti na wanawake wengi hapa nchini.
Na siku zote mwanaume anaishi na mwanamke kwa jinsi mwanamke anavyojiweka kwa kuwa wewe unajitambua hakuna atakayewaza kukupiga hivyo ndivyo ilivyo
naamini pamoja na mapungufu ya kila mzazi au mume/mke ,WANANGU WANA TAFSIRI CHANYA SANA JUU YA UANAUME NA UANAMKE!
KATIKA VITU WANAJUA FOR SURE, NI KUWA WAO NI WANADAMU KWANZA KABLA YA KUWA WAKIKE NA WA KIUME!
so ANYTHING INHUMAN, WATAREACT!
let alone kuwa mistreated kwa misingi ya jinsi zao!
 
Sema ukweli tu @ihera, kipande hiki kimetenda maajabu kunako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamtandika makofi halafu mfukoni hakuna kitu yeye ndiye kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anamfukuza halafu naye anaoa yule aliyeachwa na mwenzie kisa kachepuka na kazaa nje ya ndoa [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una miaka mingapi?
Yaani nimekupenda bure na hicho Avatar-kipaja sijui ni wewe kweli ndo nimekupenda haswa nikiunganisha na Vimaneno vyako aaaaah! mashalah! padogo tu lkn nimependa mazimaaaaa
 
Kama ni ubabe wa sex huo sawa lakini ubabe wa kupigana na kutishana naukataa kwa nguvu zote hata nyege zitakata tu

Lakini ile inaitwa mapenzi ya fujo aaah mzee we fanya tu sihitaji uparoko katika hili hata kama ni kukivunja kitanda kivunje hata nikichechemea ntakanda ntapona,,, nikamue tena fresh tu
 
Niliwahi kukupania lakini ukaniwahi kwa kuolewa!!!!
 
Nyie hamkawii kwenda kwenye dawati kisa kunyanyaswa mkimpata mpole nayo nongwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…