Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Wewe tu ndio ulikua unakesha huku ukiponda kenya kwa kuwa na deni kubwa,sasa mpira umegeuka sasa hamchelewi kusema eti ndeni la ndani bla bla. ..mwingine pale juu anasema ati "mnavuna pamba kwaivo mtaweza kulipa deni"akili za kikpumbavu,nyiyi miccm hadi mnatia huruma...Deni la ndani sio shida ni la shilingi kodi zinalipwa na uzalishaji unapanda maradufu. Deni la nje bado liko ndani ya uwezo wetu 22% ya GDP, tena tunauwezo wa kwenda mpaka 50% kiwango kinachokubalika cha EAC.