Na nyie Watanzania deni lote hili mtalipa vipi ilhali bado mpo sana

Deni la ndani sio shida ni la shilingi kodi zinalipwa na uzalishaji unapanda maradufu. Deni la nje bado liko ndani ya uwezo wetu 22% ya GDP, tena tunauwezo wa kwenda mpaka 50% kiwango kinachokubalika cha EAC.
Wewe tu ndio ulikua unakesha huku ukiponda kenya kwa kuwa na deni kubwa,sasa mpira umegeuka sasa hamchelewi kusema eti ndeni la ndani bla bla. ..mwingine pale juu anasema ati "mnavuna pamba kwaivo mtaweza kulipa deni"akili za kikpumbavu,nyiyi miccm hadi mnatia huruma...
 
Linaota kutu wakati July zinakuja zote NNE na imeshatangazwa[emoji23][emoji23]..Nchi ambayo iko mbioni kuuzwa ni yenu.. We just counting days
Hivo ndio ccm inawaambia? Kama vile waliku wanaeneza propaganda eti "sisi tuko na pesa yetu hatukopi tena"kama wako na hela i pesa inakopwa ikienda wapi?? Miccm akili ya panzi.
 
Unatia aibu aisee..... kuvuna pamba inahusiana aje na kulipa deni, ingekua ni mafuta au gesi tungekuelewa lakini kuvuna pambaπŸ˜•πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Unatia aibu aisee..... kuvuna pamba inahusiana aje na kulipa deni, ingekua ni mafuta au gesi tungekuelewa lakini kuvuna pambaπŸ˜•πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti kulipa deni, kwani uliambiwa tumeshindwa kulilipa?
Kwasababu akili yako ni ndogo ndio maana, hujui kama 70% ya pesa za kigeni Tanzania zinatokana na mauzo ya mazao ya biashara nje ya nchi

Tokea JPM aingie keshalipa zaidi ya trillion 5 madeni
 
Nyie kenge rais wetu kasema tuko kwa right track nau cc ni donner country.
 
Kuna watu wa ajabu sasa unachombishia mleta mada ni nini?
 
Nikukumbushe deni lenu wakenya ni 60% ya pato la taifa, na ni zaidi ya kiwango cha nchi za EAC. Deni lenu kubwa limekaliwa na mchina, yeye mchina katumia RMB kuwakopesha nyinyi mtatumia dola kumlipa. Yaani ni kichekesho cha mwaka jinsi mlivyo chezewa na mchina.
 
Hii kitu si kweli BoT balance sheet inasema $19 bln is the debt by February 2018.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…