kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Tumenunua ndege 7 tukitumia faida ya miaka tatu..nyingine mbili zipo njiani..kwani CAG alifikiria atapata faida yetu ipo benki imekaa tu hovyo?
Miaka tatu ndege zime chapa faida tupu..bombadia kazaa dirimulaina, dirimulaina kazaa airbus mbili..KQ miaka 50 ni tasa, zile ndege za 1977 bado zipo 3, zinaliwa tu na mafisadiπππFaida ya miaka gani hiyo?
ATCL has never made a single shilling as profit in all its years of existence.
Alafu, ndege haziuzwi kama ndizi.
Even Safaricom, the most profitable company in East and Central Africa cannot afford to buy 7 planes with just 3 years of profit.
Unless ni cessna.
Ndege za ATCL zinamilikiwa na state-owned TGFA ambayo ina sub-lease kwa ATCL.. Kwahivyo ATCL haiko kwa biashara ya kununua ndege, kama ni faida yoyote walitengeneza basi ingekua ni full faida ambayo ingeonekana na ingepewa serekali, kwahivyo CAG angesema ATCL ilitengeneza faida ABC na yote ikapewa kwa serekali... Lakini hakusema hivyo, amesema ATCL inapoteza hela, Hio inamaanisha mbali na kua ATCL hawakununua ndege ila walipewa na TGFA bado wanapata loss kubwa wakisafirisha nyama!!!!!!Tumenunua ndege 7 tukitumia faida ya miaka tatu..nyingine mbili zipo njiani..kwani CAG alifikiria atapata faida yetu ipo benki imekaa tu hovyo?
Juzi tu hapa ulisema kwamba ndege ni za GoT, sio ATCL sasa inakuwaje leo tena useme kwamba ATCL wananunua ndege na faida kutoka kwa biashara yao ya usafiri? Ile ya kwanza kabisa walinunua na faida kutoka kwa biashara ya kuuza mutura au? [emoji15]Tumenunua ndege 7 tukitumia faida ya miaka tatu..nyingine mbili zipo njiani..kwani CAG alifikiria atapata faida yetu ipo benki imekaa tu hovyo?
Kenya mngepata kama huyo awafanyie auditing hata Kenyatta asingepona kwa mziki wake.Hatari sana, huyu CAG sijui wa wapi jamaa na ujasiri wote huo, yaani jamani utadhani sio Mtanzania, amevuruga balaa, bunge lilijaribu kumzuia likashindikana.
Ndege za ATCL zinamilikiwa na state-owned TGFA ambayo ina sub-lease kwa ATCL.. Kwahivyo ATCL haiko kwa biashara ya kununua ndege, kama ni faida yoyote walitengeneza basi ingekua ni full faida ambayo ingeonekana na ingepewa serekali, kwahivyo CAG angesema ATCL ilitengeneza faida ABC na yote ikapewa kwa serekali... Lakini hakusema hivyo, amesema ATCL inapoteza hela, Hio inamaanisha mbali na kua ATCL hawakununua ndege ila walipewa na TGFA bado wanapata loss kubwa wakisafirisha nyama!!!!!!
Juzi tu hapa ulisema kwamba ndege ni za GoT, sio ATCL sasa inakuwaje leo tena useme kwamba ATCL wananunua ndege na faida kutoka kwa biashara yao ya usafiri? Ile ya kwanza kabisa walinunua na faida kutoka kwa biashara ya kuuza mutura au? [emoji15]
Na mimi nilikuwa nataka kumuuliza kama ameisoma vizuri hiyo ripoti na kuielewa ila umeniwahi.Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege za ATCL zinamilikiwa na state-owned TGFA ambayo ina sub-lease kwa ATCL.. Kwahivyo ATCL haiko kwa biashara ya kununua ndege, kama ni faida yoyote walitengeneza basi ingekua ni full faida ambayo ingeonekana na ingepewa serekali, kwahivyo CAG angesema ATCL ilitengeneza faida ABC na yote ikapewa kwa serekali... Lakini hakusema hivyo, amesema ATCL inapoteza hela, Hio inamaanisha mbali na kua ATCL hawakununua ndege ila walipewa na TGFA bado wanapata loss kubwa wakisafirisha nyama!!!!!!
Mtaendelea kuweweseka mkijuiliza ATCL inanunua ndege kwa kipigo aje.ππππJuzi tu hapa ulisema kwamba ndege ni za GoT, sio ATCL sasa inakuwaje leo tena useme kwamba ATCL wananunua ndege na faida kutoka kwa biashara yao ya usafiri? Ile ya kwanza kabisa walinunua na faida kutoka kwa biashara ya kuuza mutura au? [emoji15]
Cag ni mzaliwa msomi na raia wa Tz na ni mmojawapo wa auditors watatu wa UN. Na hii report anaitoa kwa ruhusa ya katiba ya nchi, huyu hupitia mahesabu ya idara zote hadi vyama vya upinzani na mashirika ya uma. Na hamna ujasiri wala uwoga wa chochote, it is part of his job.Hatari sana, huyu CAG sijui wa wapi jamaa na ujasiri wote huo, yaani jamani utadhani sio Mtanzania, amevuruga balaa, bunge lilijaribu kumzuia likashindikana.
Hatari sana, huyu CAG sijui wa wapi jamaa na ujasiri wote huo, yaani jamani utadhani sio Mtanzania, amevuruga balaa, bunge lilijaribu kumzuia likashindikana.
Kamwe ATCL haiwezi kutengeneza hasara ndani ya kipindi cha Magufuli, jamaa hawezi kukubali shirika lolote la serikali litengeneze hasara, ikitokea hivyo, lazima watu watafukuzwa kazi. HAPA KAZI TUMimi kwa maoni yangu ATCL inaenda vizuri kama accumulated loss ya wakati wa Ndege mbili imepungua kwa asilimia 48 kwenye mwaka wa fedha 2017/2018 hii ni big achievement kwa hesabu za kawaida.
Kenya mngepata kama huyo awafanyie auditing hata Kenyatta asingepona kwa mziki wake.
Sent using Jamii Forums mobile app