Hahahahaha, mumeanza kuweweseka, poleni sana, mtaendelea kuweweseka sana, Tanzania inasonga mbele. Repoti ya CAG imesema hivi;
1) Kuanzia mwaka 2005 hadi 2017 ATCL ilipata hasara ya TSh 38B, hiki ni kipindi ambacho ATCL ilikua na ndege mbili chakavu, moja ilikuwa sio ya ATCL.
2)Katika kipindi cha kuanzia 2017 hadi 2018, ambacho ndio kipindi cha ukaguzi, sasa hivi ATCL hasara iliyobaki ni Tshs 16B, hii maana yake ni kwamba 48% ya deni limelipwa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja wa hizo ndege mpya kuanza kufanya biashara.
3) Kwa hesabu za haraka, ndani ya kipindi cha mwaka mmoja na nusu, ndege za ATCL zimetengeneza zaidi ya Tshs.12B, ambazo zimelipa deni la nyuma, deni lililobaki ni 16B.
Hahahahaha, hahahahaha, hahahahaha.
Sent using
Jamii Forums mobile app