'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

Unachofaa kuelewa ni kwamba ATCL haijawahi tengeneza faida kutoka ianzishwe.
Nimesema ile ni ripoti ya 16/17 tungejee ripoti ya 18/19.
Uongozi mpya uliridhi madeni ambayo kwa sasa yamepungua kwa kiasi cha asilimia 50.
Kadiri shirika linavyozidi kupunguza hasara ni dhahiri kuwa mwanga wa maendeleo unaonekana.
 
Nimesema ile ni ripoti ya 16/17 tungejee ripoti ya 18/19.
Uongozi mpya uliridhi madeni ambayo kwa sasa yamepungua kwa kiasi cha asilimia 50.
Kadiri shirika linavyozidi kupunguza hasara ni dhahiri kuwa mwanga wa maendeleo unaonekana.

Wacha nikupe ukweli wa mambo.
Serikali yenu ni ya kisiri. Sio kama Kenya ambapo vitabu vyote vya KQ hutangazwa kila mwaka.
Ripoti kamili ya ATCL labda uingoje miaka mitano kutoka sasa.

Lakini ukweli ni kwamba hasara ni ile ile. Sababu mmeongeza ndege, ambazo mara mingi hazina abiria, hasara itaongezeka.
Hizo ndege mlinunua hutengeneza pesa kutoka safari za mbali, kama vile kwenda London. Safari za ndani mnazozitumia ni hasara tupu.

Lakini Magufuli mpenda sifa hatawahi mwambia ukwelil.
 
Hahahahaha, wewe ulienda shule kupoteza muda wako, kumbuka madeni ya nyuma ni sehemu ya "Expenses" katika bookiping laziwa yawe deducted from this year revenue. This year you can't say you have make profit without deducting last year loans from revenue.

Hapo nimeliweka neno "Profit", ili MTU kama wewe ambaye huna elimu ya bookiping uweze kuelewa, KQ pia kwasasa inapunguza gap la loses za nyuma.

Be informed that, under Magufuli, hakuna shirika hata moja litakaloendeshwa kwa hasara bila ya wahusika kufukuzwa, hata MKUU wa Magereza soon atafukuzwa, kwasababu Magufuli hapendi kitendo cha Magereza kupewa pesa na serikali kwa ajili ya chakula cha wafungwa badala ya wafungwa kuzalisha chakula chao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia ndege ya B787 ?
Kwa sasa ATC imeshika asilimia 50 ya soko la Tanzania, sasa hizo ndege tupu zinatoka wapi? Regional flights wameanza kwa nchi chache nadhani wanangojea kumalizana na IATA kabla hawajaanza kutekeleza azma ya kuanza safari za mbali.
 
Vitu za kawaida kwako ni mlima ndio maana ukisema kitu cha kawaida unaona umeelimika sana. Hivi unajua maana ya profit?

Profit = Revenue - Expenses.
That's economics 101 for you. Tusisumbuane na vitu vya kawaida. ATCL pamoja na kuanza juzi na kununuliwa ndege na serikali bado inatengeneza losses. Nashangaa sasa ingenunua ndege kwa pesa zake ingekuwaje?



Ndio maana kila siku tunawaambia wabongo nyie ndio wapuuzi wakuu humu Afrika. Yaani mnaibiwa kweupe lakini bado mtaendelea kuiabudu serikali mkijisifia jinsi mambo yapo shwari. Wakati nchi zingine zinazoendeshwa vyema kuliko bongo zinaenda back to the streets na kufanya riots against corruption, nyie mnaimba 'laisi wetu Magufuli ni kama Mungu'. Yaani huwezi muibia Mkenya, Muganda, Muafrika Kusini nk. asipige kelele ila Mbongo ataibiwa akiona na atakana hajaibiwa. Mtaona ya kwa wengine lakini ya kwenu hamuyaoni. Ndio maana IMF inawaweka wazi jinsi data zenu zinavyopikwa maanake mnaambiwa mko sawa ila matokea yanaonyesha tofauti.

Tanzania ni kama mwanaume anayeshinda akimbeya jinsi kijakazi wa jirani analiwa na shambaboy wajirani ilhali kwake bibi yake (au mke wake kama mnavyosema) anatafunwa wazi wazi.
 

Tanzania is a very small market. Abiria wa Tanzania ni wachache sana.
Hata ATCL ishikilie 500% bado haitoshi.
 
Profit= Revenue - Expenses

Expenses= Expenditure + loans repayments

There fore

Profit= Revenue - Expenditure + loans repayments

P = R - E +L
If you end up with (+)P, that is profit
If you end up with (-)P, that is lose

In case of ATCL, loans repayment due to previous loses is bigger than revenue, hence we end up with (-)P.

Kuhusu kuibiwa, Kenya ndio nchi inayoongaza hapa Afrika kwa kuibiwa, wala hakuna mbachofanya, mpo nafasi ya 123 katika rushwa, viongozi wenu ndio wanaowaibia wakiguswa mnawatetea kwa misingi ya ukabila, kama kuna nchi ya hovyo hapa duniani, Kenya ni miongoni mwao, ndio sababu imewekwa kundi la failed states.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimekuenda sana! Yaani halafu ninavyopenda watu wenye mawazo positive? Wakati wana wa Isreal wanatoka Misri kwenda Kaanani Nchi ya Ahadi, Mungu aliwaua karibia wote walioanza safari kutokea Misri, akabakiza wawili tu. Wengi wao aliwaua kwa kuwa na mawazo mgando kama walivyo wengi wetu humu, kukaa wanatamani mabaya tu kwa nchi yao. Haya majitu ndiyo hasa yanayotusumbua tunashindwa kwenda kwa kasi inayotakiwa, na mengi yake yapo hadi majumbani kwetu tunamoishi. Too sad!
 
Precisio
Tanzania is a very small market. Abiria wa Tanzania ni wachache sana.
Hata ATCL ishikilie 500% bado haitoshi.
Precision air wapo katika biashara kwa zaidi ya miaka 20 sasa na wanapata faida kwa domestic routes pekee, hata baada ya ATCL kuchukua 50% market share bado Precision Air inaendelea kupata faida, Tanzania is a big country.

Domestic routes zitaendelea kuwa main sources of revenue kwa ATCL hata baada ya kuanzisha safari za nje kutokana na competition ya usafiri wa ndege ulivyo kwa sasa, faida kubwa itakayopatikana kutokana na safari za nje ni utalii na investments.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The fact that Mr Kiparangoto steals then anakazia macho wanahabari wasiseme doesn't make you less corrupt. In fact you are more corrupt than Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania is a very small market. Abiria wa Tanzania ni wachache sana.
Hata ATCL ishikilie 500% bado haitoshi.
From 6% kwa mwaka 2015 unasemaje? utilization kwa sasa ni 11hours kwa siku[ninazungumzia Q400]
 
Yaani leo unaisifia Precision Air ambayo KQ ni mmiliki mkubwa wa shares zake? [emoji15][emoji15][emoji15] You can never hide from Kenya's shadow my nigga! 😎
 
Do you know KQ has 42% ownership in that airline?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…