'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

'Na pesa yetu' ATCL already making massive losses... CAG report

Do you know KQ has 42% ownership in that airline?

Sent using Jamii Forums mobile app
The point here is that, Precision is making profit for 20 years now, 99% it flies domestically, that's why ATCL after capturing 50% of domestic market, it makes huge Revenue, most of you can't believe. Precision is still making profit despite of loosing 40% of its market share.

If you are clever enough can just ask yourselves, how is it possible for are company which has taken over a big share of lucrative market to make loss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Where is the profit?

Screenshot_20190412-121928.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni habari njema ATCL kuweza kupunguza deni kwa asilimia 50. Manake shirika halijiendeshi kwa hasara!

Waliochukia kufufuliwa kwa ATCL wamenuna, wamekumbatia mito wakitoa machozi
 
Usiseme you didn't say this, underline the word " 20yrs".

" The point here is that, Precision is making profit for 20 years now, 99% it flies domestically..."

My question is, kwani 2016 ni 30yrs back?

Acha ujinga, onyesha BD na BF ya mwaka Jana ya Precision Air, acha kuweka matangazo, hujui hata kufanya analysis vitabu vya account, unachojua ni kuweka tu mapicha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni habari njema ATCL kuweza kupunguza deni kwa asilimia 50. Manake shirika halijiendeshi kwa hasara!

Waliochukia kufufuliwa kwa ATCL wamenuna, wamekumbatia mito wakitoa machozi
Hivi kwa akili yake ATCL ijiendeshe kwa hasara na Magufuli awe kimya, wakati siku anawakabidhi ndege aliwaambia yeye neno hasara halipo katika kichwa chake?, aliwaambia wakishindwa atawanyang'anya na kuwapa watu wengine kwa kuwakodishia hizo ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuenda sana! Yaani halafu ninavyopenda watu wenye mawazo positive? Wakati wana wa Isreal wanatoka Misri kwenda Kaanani Nchi ya Ahadi, Mungu aliwaua karibia wote walioanza safari kutokea Misri, akabakiza wawili tu. Wengi wao aliwaua kwa kuwa na mawazo mgando kama walivyo wengi wetu humu, kukaa wanatamani mabaya tu kwa nchi yao. Haya majitu ndiyo hasa yanayotusumbua tunashindwa kwenda kwa kasi inayotakiwa, na mengi yake yapo hadi majumbani kwetu tunamoishi. Too sad!
Kitabu gani hicho? Na waliobaki wawili ni nani na nani?
 
Huna tofaut na ndezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! 😀 Ni nini ambacho hujaelewa? Any Time Cancellation(ATC)
ndio lilikuwa jina la utani la ATCL ya miaka ya 1990's. Sijaongeza wala kupunguza, safari zilikuwa zinasitishwa wakati wowote, na abiria walikuwa wanashushwa kutoka kwa ndege. Hilo jina la ATC(Any Time Cancellation) utaliona hadi wikipedia. Kuhusu kubeba abiria wachache soma hapa chini. Kuna siku ndege ya ATCL kwenye route ya Dar-Kili-Entebbe(route kienyeji) ilibeba abiria 6 na cabin crew, wait for it..... 6 pia. [emoji1] Kwenye Bombadier yenu mpya Q400, ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 90! [emoji1] https://www.businessdailyafrica.com...umbers-saga/4003154-4895288-ylqyrc/index.html
 
Hivi kwa akili yake ATCL ijiendeshe kwa hasara na Magufuli awe kimya, wakati siku anawakabidhi ndege aliwaambia yeye neno hasara halipo katika kichwa chake?, aliwaambia wakishindwa atawanyang'anya na kuwapa watu wengine kwa kuwakodishia hizo ndege.

Sent using Jamii Forums mobile app
Loss ya 2017 ndo hiyo hapo. Nataka uniambie hizo 20yrs precision walikuwa wanatengeza profit kwani walikuwa wanaoperate Mars ama Jupiter.
Screenshot_20190412-125339.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu gani hicho? Na waliobaki wawili ni nani na nani?

Ni kitabu cha Kutoka uunganishe na cha Joshua, nadhani na Hesabu pia. Waliobaki ni Joshua yule ambaye aliwahi kuomba Jua likasimama ili akapigane vita kwa sababu lilikuwa karibia linazama, na wa pili ni Kalebu.Mussa alipokufa alizikwa na Mungu halafu mamlaka yote aliyokuwa nayo Mussa akapewa Joshua. Soma Joshua 1 na kuendelea
 
Nimekushika pabaya Leo. In this world of today you can't cheat us, we argue with verified facts not guess work. Ati Precision imekuwa ikimake profit for 20yrs when in fact their books are reading losses after losses.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua jamaa ameshindwa ,his response is always hahahahahaha ......Tanzania/megafuli hoyeee
 
Back
Top Bottom