Utaratibu wa kununua uko hivi: wanalipa % ya bei halafu wanaendelea kumlipa kidogo kidogo kwa kipindi ca miaka 10 kama mtu anayenunua gari kwa finance lakini hawanunui cash hao uliowataja wote hawajawahi kununua ndege cashWivuuu, kwasababu ninyi hamna uwezo wa kununua ndege, mnataka na sisi tuwe kama ninyi sio?. Mwanzoni mlisema ATCL ni serikali, na serikali haipaswi kufanya biashara tuige mfumo wa KQ, ghafla serikali yenu ikaamua kuiga mfumo wa ATCL kwa kulirudisha KQ serikalini.
Ngoja nikuhorodheshehe mashirika ya ndege ambayo yamenunua ndege, sio kukodisha.
1) Ethiopia Airways
2)British Airways
3)Emirates
4)KLM
5)Turkey Airway
6)Qatar
7)SAA
8)Lufthansa
9)Swis Air
10)Singapore Airline
Mashirika yote haya yamenunua ndege zake wenyewe. Hahahaha, Hahahaha.