Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Turkana ni watu wangapi wanakufa kwa njaa???!!!!!Don't even go there.
Tanzania iko chini ya Kenya in all metrics.
Malnutrition worse.
Poverty worse
Human development index worse
Vehicle ownership worse
Electricity connectivity worse
Mortality rate worse
Maisha gani hayo mema kama hauna stima, hauna masomo, hauna afya na utakufa mapema?
Embu twende in reality.
Nitajie hata slum moja iliyopo Tz ila nakutajia Kenya kuna Kibera na Bangladesh slums.
Kama mnapata matibabu bora idara yenu ya afya ilitoa ripoti kuwa mna takriban wananchi10 millions vichaa hzo afya bora za wapi???!!!!
Naskia hadi kibera slums wenzako wanasema kuwa ujiandae kulipa electric bills,umeona wap hyo kwa Tz???
Tz unaweza ishi kwa siku kwa 70 ksh, je Kenya inawezekana???!!!!!
Halafu ktk masuala ya afya huwenda unazungumzia kipindi cha Kikwete maana sasa hv vituo vya afya vinatapakaa kila kona na twashukuru Mungu maternity mortality rate yapungua kwa kiasi daily.