Na shida na dawa(Mundende)

jraider

Member
Joined
Sep 15, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.
 
Ni pm nikuoneshe machaka ya mundende.
 
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.
Mkuu ushapat hii dawa ...?
 
Tatizo matapel wengi tangazo kama hilo nishaliona sehem nying wanabadil namba tu za cm .je ushawah nunua?wwe
 
Mzee bao la kwanza ni kawaida kuwahi kwa mwanaume yoyote ambaye yuko sawa, usijione kama unatatizo, anzia kuhesabu la pili endapo kama utakojoa ndani ya dk 2 hilo litakuwa tatizo, hapo unaweza kwenda kutafuta tiba sasa.
 
Haya matatizo ya nguvu za kiume mengi ni ya kisaikolojia tu ila kutojiamini na uwoga unaotokana na mambo mbalimbali.
Kuna mwana ni dereva wa magari ya mafuta anaenda sana Congo basi kuna mchizi wetu akawa anamsumbua sana amletee hayo mavumbi kisa hawezi kusimama kwa muda mrefu basi yule dereva akarudi bila dawa ili kuondoa lawama akatafuta tu unga sijui wa manini akampa kwenye kichupa huwezi amini jamaa alirudi kumshukuru mshikaji kua yuko ngangari kinoma nikaamini kua tatizo lilikua kwenye hisia zake tu.
 
Na tatizo LA kuwah wakat na Fanya tendo, he naweza pata dawa!? Kuna mtu aliniambia nitafute Mundende,mwenye kujua ntaipata WAP plz au dawa nyingine yenye matokeo msaada.

saga tikitimaji weka kwenye sufuria kamulia limao moja weka jikoni ichemke kidogo ipua acha ipoe isongeshe kwenye friji ikipoa gonga grasi asubuhi grasi mchana grasi jioni kwakuwa ni lishe matokeo ni siku sifuatazo/zinazofuata c kwa haraka unayo itaka wewe.
 
Wanawake wanaitesa hii dunia ya wadudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…